Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

✔️

Kuna baadhi ya watu hua wanaamini kua Watanzania ni watu wajinga sana.
Lakini Mimi Niko kinyume nao.
Ukweli ni kwamba ,Watanzania wan akili mno.
Haya wanayaona na kuyasikia,yanaongeza chuki na yanakera.kadri yanavyokua mengi ndivyo hasira zinyokua kubwa.
Watanzania walishaamua miaka mingi sana ila sema mfumo ndio hautaki.
Kuna siku kosa dogo TU litafanyika ,na ndio utakua mwisho.
Hiyo ni nature.
 
Ili ikae vizuri sema aligombea Chadema kupitia Muungano wa Ukawa mbona inatajwa Chadema tu au vile vyama vilivyooungana kumsapoti Lowassa kwa sasa havitambuliki?
 
Wasifu wa Edward Lowasa umetatua madai kuwa aliwahi kugombea urais kupitia Chadema hivyo madai kuwa akina Nape waliwahi kimkashifu na kumdhihaki ni batili.
Kukashifiwa kwa Lowasa, ulisubiri afe usikie wasifu ndiyo ujiridhishe? Au ni jambo ambalo liko ktk kumbukumbu.
 
CCM ya sasa inaongozwa na watu wenye iq ndogo sana
 
Hiyo kutoandika ni jinsi gani chichiem inavyowatazama watanzania Kama ni jamii ya mazombi tu. Kwa hili kila historia ya nchi hii na ya kizombi tu. Kama wanaweza kufuta kitu ambacho ni Cha wazi unategemea nini?.
 
Hauandiki Kila kitu Hadi alipokuwa anaiba mapera utotoni, unaandika matukio muhimu. Na hilo la kuhama Chama na kugombea urais halikupaswa kutokuwepo, labda kama historia haina maana yoyote.
Yes. Na uwezi kuacha kuandika tukio kubwa la kugombea urais wa nchi. Ina maana angegombea kwa ccm wangeacha pia kuandika?
 
Hiyo unatengeneza wewe. Hakuna Cha siasa Wala nini ccm inaona watu ni mazombi wa yeupe wakisema nyekundu zilo zombi zinakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…