hayo ni maneno yake bwana akili de mali.Nguvu hiyo kaitolea wapi?
Mpeni timu mchukue ubingwaMwenye CV ya Mzee Ibrahim Akilimali atujulishe tafadhali.. Dar Es Salaam Young Africans Baby.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ni tapeli mmoja anayejificha kwenye kichaka cha soccer
ManyemaKumbe ni mugabo?