Wasifu wa Mzee Ibrahim Akilimali

Wasifu wa Mzee Ibrahim Akilimali

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mwenye CV ya Mzee Ibrahim Akilimali atujulishe tafadhali.. Dar Es Salaam Young Africans Baby.
 
yeye ni bwana na yanga ni mbwa wake kamwe mbwa habweki kwa bwana wake bali atafata ya bwana yake

HALA YANGA [emoji28][emoji28][emoji28]
 
yeye ni bwana na yanga ni mbwa wake kamwe mbwa habweki kwa bwana wake bali atafata ya bwana yake

HALA YANGA [emoji28][emoji28][emoji28]
Nguvu hiyo kaitolea wapi?
 
Alitishia kuroga wana yanga na hakuna alie Fanya fujo nyumbani kwake. Naona utaalamu kaachiwa na yusufu mzimba. Club mzima kumuogopa mtu mmoja ni jambo haliingii akilini
noma sana
 
Alikuwa kuli wakati aamekuja mjini akitokea kwao Kigoma ana nyumba mbili pale Tandale kwa Mtogole, alipita shule na kufanikiwa kufika darasa la nne

Ni hayo tu ninayojua
 
Alikuwa kuli wakati aamekuja mjini akitokea kwao Kigoma ana nyumba mbili pale Tandale kwa Mtogole, alipita shule na kufanikiwa kufika darasa la nne

Ni hayo tu ninayojua
Kumbe ni mugabo?
 
Back
Top Bottom