SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Ali Hapi alilazwa makaburini mara mbili ikabidi akawaone wazee.Mwanamke kuwaongoza Wahehe ni kibarua kweri-kweri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali Hapi alilazwa makaburini mara mbili ikabidi akawaone wazee.Mwanamke kuwaongoza Wahehe ni kibarua kweri-kweri.
Kakosea. Queen amezaliwa 1973, so ana miaka 48duh miaka 67 mbona mbichi kabisa hyo et.
1973 bana!Nilitaka kushangaa hizi hesaba za wapi mtu azaliwe 1978 awe na miaka hiyo?
sawa umepata!1973 bana!
Hahahaha! Wewe kumbe unamjua huyu mama watoto wake wa3Mrembo aliekulia Sinza Mapambano.
Na anapiga ngeli kuliko shujaaa yule.Kumbe anaelimu kuliko Mbowe, Hongera mama.
Kazaliwa 1973Jamani muwe mnaverify info sources. Huyu kweli kwa muonekano wake tu ana 67 years??
Sasa stashahada aligombeaje Urais wakati kwa nafasi ya Urais unatakiwa kuwa elimu kuanzia shahada ya kwanza.
nafikiri walikosea labda kuandikaSasa stashahada aligombeaje Urais wakati kwa nafasi ya Urais unatakiwa kuwa elimu kuanzia shahada ya kwanza.
hapo swKakosea. Queen amezaliwa 1973, so ana miaka 48
Mkuu mleta mada, Queen Sendiga hana miaka 67. Ndiyo kwanza ana miaka 48.
Namjua sana yeye na familia yao.Na nimewai kuwa karibu sana na famalia yao kipindi fulani miaka iliyopita.Hahahaha! Wewe kumbe unamjua huyu mama watoto wake wa3
Davis, Luis na Caro.
Ila nilishangaa mtoa mada kaandika ana miaka 67
The hate you have for Mwenyekiti!!Kumbe anaelimu kuliko Mbowe, Hongera mama.