Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Alifanya kazi ya PS kwa office,akajiendeleza,aliolewa mke wa 3.Kapambana kufika
hapo alipo.Ila kichwani si smart.
Kuna watu wamefanya kazi ya u-Rais iwe haina thamani:
1. Mwinyi
2. JK
3. Huyu Mama

Taasisi hii imekuwa haina thamani kabisa yaani Tanzania kuiongozi ni sawa na kuendesha gari hujui safari yako inaelekea wapi; ukifika Mwanza sawa ukifika Mbeya sawa; unateremka unamwachia mwingine aendeshe! Yaani ni nchi ya "yahe yahe " na common man! Tangu juu hadi chini.

Mwenye njaa analia sana, akikutana na muhujumu wake anampa sifa zote, unapatwa na butwaa; huyu si alikuwa analia njaa kila siku! Nchi ya wendawazimu. Tajiri mmoja alisema, aliacha kuwasaidia watu kwa sababu kila alipowasaidia ndiyo walienda CCM na kumchongea!! haaaa
 
kitendo cha WIKIPEDIA KUFICHA TAARIFA MUHIMU ZA WAZAZI KUNA WALAKINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafikirisha sana



🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Huyu apigwe chini, anauza nchi?!
 
Kati ya 1976 na 1977 ni kama vile tairi ilipasuka, panahitaji editing'i, ya huko India ninamuachia Mithuni Chakrabot maana lugha gongana.
 
Wa Uganda ni mainazi 00.1 huyu wetu ni 1.0, jivyo wetu ni wakwanza Afrika Mashariki na dunia nzima kwa jumla, Lucas Mwashambwa amethibitisha hilo huku akibubujikwa machozi kwa furaha.
 
1966 kuzaliwa
1976 kumaliza sekondari ya upili! kigugumizi.
 
cv nyepesi sana sana tena sana aisee,,safari ndefu kitauma reflect poor performance academically and thats why she's extremely weak and poor in her position, ukienda Halmashauri uko na kuna watumishi wasomi wazuri sana km yule aliyekuwa Kisarawe hawamu ya 5,ana PhD analipwa 800k kwa mwezi,,
 
Weka nzito ya Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…