Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana vyeti fake wanatamba sahivi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana vyeti fake wanatamba sahivi???
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana vyeti fake wanatamba sahivi???
Anatosha mpaka 2030.Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na kisha akasomea masomo ya upili Ngambo, Unguja (1973-1975) na Lumumba, Unguja (1976).
Alisomea kozi mbalimbali hadi akafikia kupata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire nchini Marekani.
Kazi
Aliajiriwa kama mchapishaji katika serikali ya Zanzibar mwaka 1977 na akapanda ngazi hadi kuwa afisa wa mipango serikalini kati ya 1987 na 1988.
Alihudumu pia kama meneja wa mradi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Zanzibar kati ya 1985 na 1997, na pia kama meneja mkurugenzi wa Mwamvuli wa NGO 1998 hadi 1999.
Bi Samia anasema kuwa njia yake ya ufanisi haijakuwa rahisi kama inavyodhaniwa.
''Safari yangu katika siasa imekuwa njia ndefu na yenye tija.''
Kimsingi ufanisi wangu katika siasa za Tanzania umetokana na uweledi na umakini katika kila jambo ninalolifanya.''
''Sio rahisi kuwajibikia familia yako wakati huohuo ukiendelea na maisha ya siasa elimu na majukumu mengine ya kikazi," anasema Bi Samia.
Familia
Aliolewa mwaka wa 1978, kwa Bw Hafidh Ameir, ambaye wakati huo alikuwa afisa wa Kilimo .
Walijaliwa watoto wanne.
Mmoja kati ya wanawe Wanu Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar
Siasa
Alijiunga na siasa mwaka wa 2000.
Wakati huo alijiunga na bunge la wawakilishi la Zanzibar kama mjumbe maalum.
Haikuchukua muda mrefu nyota yake ikaanza kung'aa na akateuliwa kuwa waziri na rais Amani Karume, akipewa wadhifa wa Waziri wa Leba, Jinsia na Watoto.
Alitumikia taifa hadi mwaka wa 2005 alipochaguliwa tena na kuteuliwa upya kama waziri, wakati huu akipewa wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji katika serikali ya visiwani.
Mwaka wa 2010 alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi.
Punde tu akateuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa waziri wa maswala ya muungano katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihudumu chini ya Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.
Machi mwaka 2014, aliwania na kuchaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba nmjini Dodoma. Bi Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour ambaye alipata kura 126 sawa na 24%.
Julai mwaka 2015, Dkt John Magufuli alimteua kuwa mgombea mwenza.
===
First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu
Member Type: Elected Member
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 3021, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712 Office Fax:
Date of Birth 27 January 1960
EDUCATION
- School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
- Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 - 1971 Primary School
- Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 - 1972 Primary School
- Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 - 1968 Primary School
- Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary School
- Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary School
- National Institute of Public Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate
- Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate
- Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate
- Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro) Advanced Diploma 1983 1986 Advanced Diploma
- Manchester University, London Postgraduate 1992 1994 Postgraduate Diploma
- Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree
EMPLOYMENT HISTORY
- Company Name Position From To
- The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
- Ministry of Tourism, Trade and Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
- Ministry of Labour, Gender Development and Children Minister 2000 2005
- Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999
- Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988
- World Food Programme, WFP - Zanzibar Project Manager 1985 1997
- Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986
POLITICAL EXPERIENCE
- Ministry/Political Party/Location Position From To
- Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja Region 2009 Todate
- Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Pemba Region 2004 2007
- Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2002 Todate
Duu[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43]Anatosha mpaka 2030.
Ameanza kuitwa Samia Suluhu Hassan alivyokuwa Rais?Family moya inaongoza countries
Ni mchango wa kidhahania zaidi.Binafsi hayo siyajui mkuu 'Kiranga', mchango wangu uliishia kwenye hiyo DNA kama wenyewe wakitaka kufanya hivyo.
"...kidhahania...", hili ni neno jipya kwangu.Ni mchango wa kidhahania zaidi.
Nenda kachimbe ufanye hivyo basi kama ni jambo la kawaida kabisa."...kidhahania...", hili ni neno jipya kwangu.
Lakini kama linakaribiana na neno jingine ninalolijua "nadharia", hapa ningesema hapana. Mchango wangu ungekuwa halisia kabisa.
Kuchimbua kaburi ni jambo la kawaida sana
Kuchukua sampuli toka kwa maiti iliyozikwa mule, siyo kazi ngumu
Kupima sampuli hiyo na kulinganisha na iliyotokana na ndugu siyo jambo jipya.
Sasa hii "dhahania" inahusu nini hapa!
Naona unalo tatizo jingine hapa.Nenda kachimbe ufanye hivyo basi kama ni jambo la kawaida kabisa.
Tatizo unaandika sana vitu usivyoweza kufanya.Naona unalo tatizo jingine hapa.
Ufutwe una shida gn? Mbona uzi wa FaizaFoxy upo hewani naunahusu cv mbovu ya mwigulu nchemba, hakuna aliye juu ya sheria even the president. Swala la Bandari nipo tayari wanikate kichwa wanipike supu
Hata upewe mabilioni kila sekunde huwez kuyatumia Kwa fraha ilihali raia wanasotea kula Yao tu ya siku moja. Anataka kuleta warabu nchi iwe ya wapemba na magaidi humu. HatutakiUtumwa wa hela unatuandama vibaya,Hakuna cha mzalendo tena hakii.
Yule nae mrafi hajawahi ridhika kila siku new York marekani nakajenga huko anaishi huko huku anarudi kuchuma tu. Sikuwahi kuona Obama, trump, bush na wengine wako nje ya marekani Yao baada ya kustafuTuanzie hapo msoga.
Iyo four huenda ya 32 huyu mama alimaliza shule mpaka chuo au aliolewa akaacha masomo?Form four division 4,halafu akaunga unga weeee. Habari ndo hiyo.