Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Duuh kaanza kufanya KAZI akiwa na miaka 17 kwani chuo kamaliza na umri gani
Alipomaliza tu kidato cha 4 alianza kazi......mama yetu alijiendeleza kusoma akiwa katika ndoa mbichi....ni jambo la ajabu na gumu kwa wanawake wa kiafrika hususani kutoka Pwani ....hakupoa...hakupumzika aliendelea kuunganisha elimu mpaka kuchukua ADvDipl pale Chuo Kikuu Mzumbe na baadaye kuelea katika bahari ya elimu huko Manchester....Marekani....India.....Open University ya Tanzania....

Mama yetu ni shujaa haswa.....[emoji123][emoji106][emoji120][emoji2956]
 
Kuna chawa wa mama kavamia uzi kila kitu anasema "ujinga huo".
 
Alipomaliza tu kidato cha 4 alianza kazi......mama yetu alijiendeleza kusoma akiwa katika ndoa mbichi....ni jambo la ajabu na gumu kwa wanawake wa kiafrika hususani kutoka Pwani ...
Miaka hiyo Zanzibar hawakuwa na shule zinazofundisha elimu ya kidato cha 5 na 6?!
 
Hapa tunahitaji elimu ya baiyolojia.
  1. Life span ya ovum ni 24 hours, not a day more, not a day less!.
  2. Life span ya x- sperm ni 24 hours, not a day more, not a day less!.
  3. Life span ya y- sperm ni 72 hours, not a day more, not a day less!.
  4. x- sperm is ina speed and travels faster than y-:sperm ila x sperm is weaker than y,-sperm
  5. Ili mtoto wa kiume atungwe, lazima tendo lifanyike within 6 hours after ovulation.
  6. Mwanamke akifanywa 2 days before ovulation day, x sperms zote zinakufa within 24 hours, hivyo yai likishuka linaovushwa na y-sperm inatungwa ya mtoto wa kike.
  7. Mwanamke akilala na mwanaume huyu leo, na mwanaume huyu kesho, halafu akapata ovulation on the 3 day, y sperms za wanaume wote wawili zitakuwa hai, hivyo hawezi kujua for sure ni ujauzito wa yupi mpaka mtoto azaliwe!.
  8. Hivyo kuna mababa wengi tuu, tunalea watoto ambao sio wetu bila kujijua tukiaminishwa ni wetu!.
  9. Anayejua for surely who is baba halisi wa mtoto, ni mama!.
  10. Ndio maana wenzetu Waislamu, wanapozika marehemu wao, wanawazika na kwa jina la ubini wa Mama na sio baba kama Nabii Issa bin Maryam.
P.
No 10 sio kweli hakuna mwislam anayezikwa na ubini wa mama,hata huyo issa bin mariam uliyemtolea mfano ni kwakuwa inasemekana alizaliwa bila baba
 
Wakulaumiwa ni Magufuli
Inawezekana, kwa sababu ya tabia ya ung'ang'anizi wake na kutumia manguvu badala ya akili; lakini jambo kama hili kama aliambiwa na akapuuza kama alivyopuuza COVID-19, basi atakuwa ni kiongozi wa hovyo sana.
Pengine kama kawaida yake alidhani yeye ni 'Jiwe' hakuna kitu cha kumwondoa yeye na kumwacha huyo aliyeng'ang'ania naye ndiye achukue nafasi yake.

Hili halitakuwa jambo la kushangaza kwa mtu mwenye tabia kama za Magufuli.

Hata hivyo, hili ni tatizo la Katiba iliyopo. Mtu anaondoka madarakani baada ya mwaka mmoja, halafu anamwachia aliyerithi miaka yote iliyobaki? Ilitakiwa pawepo na utaratibu wa wananchi kumchagua kiongozi mpya kumaliza muda huo mrefu uliobaki.
Kama ni miezi tu ndiyo ingekuwa imesalia kumaliza ngwe, hapo isingikuwa tatizo, lakini miaka zaidi ya nusu ya ngwe?
 
A9B14390-7530-46B3-888D-9632633C0076.jpeg
 
Kama pandikizi la Burundi!
Lakini nadhani mada hii inao uzito zaidi ya huko kuwekewa "pandikizi" na watu wengine mbali ya waTanzania wenyewe kuamua kiongozi wanayemtaka awaongoze.
Kuwa kiongozi wa nchi kunahitaji mambo mengi zaidi ya asili ya mtu mwenyewe. Kuteuliwa kwa mtu kushika nafasi yoyote bila kuhusisha vigezo mbalimbali vinavyomhusu mtu huyo ni makosa. Huu utarartibu ulioko ndani ya CCM kuchaguana kwa vigezo vya "huyu ni mwenzetu" haufai kabisa.

Kiongozi anayechaguliwa kuongoza nchi ni lazima sifa zake binafsi zifahamike vizuri. Historia ya maisha yake haiwezi kamwe ikawa ni siri isiyojulikana kwa watu anaowaongoza. Kazi zake alizofanya kwenye jamii ni muhimu zifahamike Misimamo yake kwa mambo yanayohusu nchi yake ni lazima yajulikane, haiwezi kamwe ikawa ni siri yake mwenyewe.
 
Huoni kwamba unaji contradict ? Tushike lipi tuache lipi?

Bullet point yako namba 7, Mama mtu hawezi jua Baba ni nani iwapo amelala na watu wawili ndani ya siku kadhaa za ovulation, ndio sayansi. Sentensi yako namba tisa, "anaemjua baba ni mama" ni total garbage, msemo wa Waswahili tu, Nakusoma nielewe umekuja na sayansi ya kuni support au kunipinga nione nimekosea wapi, nakuta humo humo unaji contradict we mwenyewe, mbona unakurukupa kurupuka tu Mayalla ?
Huyo 'jamaa' elimu yake ni ya ajabu sana.

Katika maeneo yote anayodai yeye anaufahamu nayo, akiyaandikia lolote yana utata mtupu au ni makosa moja kwa moja kama hili hapa aliloandika kuhusu "mama kuwa ndiye ajuae" ni 'sperm' ya mwanaume gani aliyefanya tendo naye iliyosababisha ujauzito.
 
Back
Top Bottom