Mihamala ilipopungua ya Simu, Wananchi Sikivu wakaweka pesa Bank.
Sasa Bank Mmefuatwa wananchi Sikivu, mtu anakatwa matozo na maelezo ya kutosheleza.
Sasa Wananchi wanahamia Kwenye Vibubu Nyumbani sasa kutokana na hali ya maisha kwasasa na kurudi kwa wimbi la Vibaka wanaovunja nyumba za watu waibe.
Wangeziwahi tu na za kwenye Vibubu kabla ya vibaka kuwahi kwa kodi mpya za UZALENDO na KICHWA na bila kusahau MATITI tozo.