Wasiishie Tozo, waweke kodi ya Uzalendo na ya Kichwa

Wasiishie Tozo, waweke kodi ya Uzalendo na ya Kichwa

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
667
Reaction score
1,582
Mihamala ilipopungua ya Simu, Wananchi Sikivu wakaweka pesa Bank.

Sasa Bank Mmefuatwa wananchi Sikivu, mtu anakatwa matozo na maelezo ya kutosheleza.

Sasa Wananchi wanahamia Kwenye Vibubu Nyumbani sasa kutokana na hali ya maisha kwasasa na kurudi kwa wimbi la Vibaka wanaovunja nyumba za watu waibe.

Wangeziwahi tu na za kwenye Vibubu kabla ya vibaka kuwahi kwa kodi mpya za UZALENDO na KICHWA na bila kusahau MATITI tozo.
 
Kaz iendelee tuweke pesa kwenye vibubu

Screenshot_20220827-121852.jpg
 
Back
Top Bottom