INAUZWA Wasiliana nami kwa mahitaji ya ramani

Wachatech

Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
8
Reaction score
17
Ramani ya nyumba hii ina;

-Vyumba vinne vya kulala
Kimoja master,kingine self na viwili vya kawaida
-sebule
-jiko
-store
-dining
-public toilet
Ina ukubwa wa mita 17 kwa 13

Kwa mahitaji ya ramani hii na ramani zingine
Wasiliana nami whatsapp

0678418272

abuuammar11@gmail.com

 

Attachments

  • IMG-20200903-WA0040.jpg
    91.5 KB · Views: 24
  • IMG-20200905-WA0120.jpg
    73.6 KB · Views: 21
Unaweza kuweka rough estimation ya cost kwa mtu anayejenga Dar? Assume kiwanja kipo, ni kizuri na wala usiingie kwenye details kwani huu ujuzi unahitaji ujira. BTW kwenye nyumba za Bongo kuna hiki kituy cha kukariri eti ''public toilet''. Hili ni kosa kwani nyumba ya kuishi haiwezi kuwa na public toilet kwa maana yake halisi. Tujaribu kusema tu idadi ya vyoo.
 
33M-38M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…