Kila mtanzania wenye dhamira ya kweli na nchi yake ataamini kabisa kuwa, ucheleweshaji wa matokeo unaofanywa na Wasimamizi ni hila za wao kuibeba CCM baada ya kuona imeshindwa vibaya.
Wazo la miundo mbinu ni uongo mtupu kwani haiwezekani hata Jiji la Dar es salaam iwe ni shida kutoa matokeo kwa wakati wakati miundo mbinu iko safi.
Habari za kuaminika nilizopata toka Jimbo mojawapo ambalo matokeo yamechelewa ni kwamba, KAMA SI UCHAKACHUAJI ULIOFANYWA NA WASIMAMIZI NA WASAIDIZI WAO, KWA SEHEMU KUBWA CHADEMA ILIKUWA IMESHINDA MAJIMBO MENGI YA NCHI HII, LAKINI WANACHELEWESHA MATOKEO KWA MAKUSUDI WAKIWA WANABADILISHA MATOKEO HALISI.
Chanzo hicho kilisema kuwa, Msimamizi Mkuu ni mteule wa CCM (ambaye ni Mkurugenzi),Msimamizi msaidizi naye ni mteule wa Halmashauri ( Mtendaji wa Kata) hivyo uchachuaji umefanywa kwa kiasi kikubwa ili kukilinda chama tawala.
KWA HALI HALISI TUME HAIKO HURU