Elections 2010 Wasimamizi wa majimbo waibeba CCM

Elections 2010 Wasimamizi wa majimbo waibeba CCM

Lusambara

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
38
Reaction score
9
Kila mtanzania wenye dhamira ya kweli na nchi yake ataamini kabisa kuwa, ucheleweshaji wa matokeo unaofanywa na Wasimamizi ni hila za wao kuibeba CCM baada ya kuona imeshindwa vibaya.

Wazo la miundo mbinu ni uongo mtupu kwani haiwezekani hata Jiji la Dar es salaam iwe ni shida kutoa matokeo kwa wakati wakati miundo mbinu iko safi.

Habari za kuaminika nilizopata toka Jimbo mojawapo ambalo matokeo yamechelewa ni kwamba, KAMA SI UCHAKACHUAJI ULIOFANYWA NA WASIMAMIZI NA WASAIDIZI WAO, KWA SEHEMU KUBWA CHADEMA ILIKUWA IMESHINDA MAJIMBO MENGI YA NCHI HII, LAKINI WANACHELEWESHA MATOKEO KWA MAKUSUDI WAKIWA WANABADILISHA MATOKEO HALISI.

Chanzo hicho kilisema kuwa, Msimamizi Mkuu ni mteule wa CCM (ambaye ni Mkurugenzi),Msimamizi msaidizi naye ni mteule wa Halmashauri ( Mtendaji wa Kata) hivyo uchachuaji umefanywa kwa kiasi kikubwa ili kukilinda chama tawala.

KWA HALI HALISI TUME HAIKO HURU
 
kila mtanzania wenye dhamira ya kweli na nchi yake ataamini kabisa kuwa, ucheleweshaji wa matokeo unaofanywa na wasimamizi ni hila za wao kuibeba ccm baada ya kuona imeshindwa vibaya.

Wazo la miundo mbinu ni uongo mtupu kwani haiwezekani hata jiji la dar es salaam iwe ni shida kutoa matokeo kwa wakati wakati miundo mbinu iko safi.

Habari za kuaminika nilizopata toka jimbo mojawapo ambalo matokeo yamechelewa ni kwamba, kama si uchakachuaji uliofanywa na wasimamizi na wasaidizi wao, kwa sehemu kubwa chadema ilikuwa imeshinda majimbo mengi ya nchi hii, lakini wanachelewesha matokeo kwa makusudi wakiwa wanabadilisha matokeo halisi.

Chanzo hicho kilisema kuwa, msimamizi mkuu ni mteule wa ccm (ambaye ni mkurugenzi),msimamizi msaidizi naye ni mteule wa halmashauri ( mtendaji wa kata) hivyo uchachuaji umefanywa kwa kiasi kikubwa ili kukilinda chama tawala.

Kwa hali halisi tume haiko huru

haujtusaidia sana kwa kuwa umeamua kutotaja eneo husika, hivyo habari hii itabalki kuwa uvumi tuu!!!
 
Habari za kuaminika nilizopata toka Jimbo mojawapo ambalo matokeo yamechelewa ni kwamba, KAMA SI UCHAKACHUAJI ULIOFANYWA NA WASIMAMIZI NA WASAIDIZI WAO, KWA SEHEMU KUBWA CHADEMA ILIKUWA IMESHINDA MAJIMBO MENGI YA NCHI HII, LAKINI WANACHELEWESHA MATOKEO KWA MAKUSUDI WAKIWA WANABADILISHA MATOKEO HALISI

Haya ni kweli lakini hapa ni mahali pake?

Nilifikiria hapa ni kuripoti matokeo tu.
 
:israel::israel::israel::israel::israel:
I DO AGREE WITH YOU, CCM WANABEBWA NA MFUMO WA TUME YA UCHAGUZI
 
Back
Top Bottom