Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Watoto hawana hatia yoyote, wachaga acheni tamaa ya mali
Tamaa ya fedha ni kwa huyu anayefungua kesi mbilimbili, kesi ya msingi haijaisha tayari kashafungua nyingine. Unaamini kilichompeleka Jack kwa yule mzee ni nini zaidi ya pesa?
Hizo pesa anazotumia kulipa mawakili mbona asizitumie kununua mahitaji ya watoto?
 
Mwanaume sio fala Mkuu anajikinga kila anapopita anajua mbegu zake zinawindwa[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Dunia Ina mambo kule Abdiel anapotaka azaliwe Mwanamke hakubali
Daah sasa ataishi bila familia mpka lini,dada nae hana mtoto...mengi hakuona wajukuu mpka kifo kimemchukua
 
[emoji16]yaani we km mimi,tena namuomba Mungu anisaidie
Sie tuliozaliwa ndani ya ndoa na kuna wengine nje ni balaa!
Yaani mi mpk nilirudi home kimkakati kuweka mambo vzr maana ndio 1st born, ndo baba litokee la kutokea hapa halafu nimuone mtu ananyua ngwala zake ,hataamini kitakachomtokea!
Eti mwanamke amezaa na baba sijui nn! Shenzi kabisa hawa!
Ndo maana siwaelewi wanaotetea huu ujinga,ngoja waolewe yawakute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…