Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Nafikiri kuwepo na mafundisho rasmi yanayoelekeza wasimamizi wanaosimamia mitihani shule za madhehebu ya dini kujua mipaka yao ili wasiingilie zile taratibu za kawaida zilizokubaliwa na serikali.
Hivi inakuwaje msimamizi mwanamme; ana anza kuwavua Watoto wakike vitambaa na mara nyingine wakiwa kwenye mtihani kuwapa usumbufu wa hapa na pale eti anajirizisha kuwa hawaibii mtihani?
Hili lilitokea kule Mwanga mkoani Kilimanjaro na baada ya kuleta mtafaruku mkubwa, yule msimamizi alihamishiwa kituo kingine. Natumaini alichukuliwa hatua stahiki kwani kumuhamisha haikuwa adhabu.
Nakumbushia tu kwa maana mitihani imekaribia.....