Uchaguzi 2020 Wasimamizi wa Uchaguzi (Wakurugenzi) wanachafua sura ya CCM, Jimbo la Kibamba Msimamizi wa Uchaguzi awajibishwe

Anahofia kukosa kura zao sababu amewavunjia nyumba zao kimabavu kuwakomoa chadema huku mkandarasi wa ujenzi ndio huyo huyo, hizi pesa zote wataka ziwe zako una tumbo kubwa kiasi gani pesa hazikutoshi?
 
Ile kauli ya sasa basi ianzie kutuekelezwa hapo kibamba ili iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii. Yani utapeliwe ww alafu polisi waende chadema. Haikubaliki
 
Kwa faida ya wanajf na wengine Sura yake huyo mkurugenzi Anayeitwa Beatrice Dominic hii hapa
View attachment 1542566
Inaonyesha kabisa ule mchezo huyu mtu anaujua a-z, na ndio maana anawakomalia chadema ndio wanamtafute huyo mtu aliyejifanya mwana chadema na kuchukua form, ni dhahiri anajua hawatoipata ndio maana. Sasa hii michezo ya kitoto isivumiliwe mbona ukondoo umezidi, yaani hadi mtu anakuwekea kidole jichoni.
Nadhan mtu akija kuchukua form lazima contact zake ziwepo sasa angekuwa na busara angempigia simu palepale, aitwe aje mambo yamalizwe ila inaonyesha anachokifanya ni kuwauzia kesi chadema wamtafute, bonge la mtego.
Hizi chokochoko za hawa watu waliopewa dhamana zitawafikisha pabaya, na hili haliachwi lipite lazima lifatiliwe mpaka mwisho.
 
Kumbe hata mimi naweza kwenda kuchukua fomu kwa mkurugenzi nikagombee kawe kupitia ccm na asinihoji ee?
 
I quote, "The constant chaos leaves us adrift. The incompetence makes us feel afraid. The callousness makes us feel alone. It’s a lot. And here’s the thing: We can do better and deserve so much more,”

Kamala Harris.
 
Acheni uongo kuhusu jambo hilo. CHADEMA mnachezeana rafu wenyewe kwa wenyewe na kuendekeza uzembe. Kiongozi wenu wa ngazi ya mkoa ndio kamtambulisha huyo mgombea wenu na Mkurugenzi akampa seti moja ya fomu. Baadaye anakuja mgombea mwingine! Mkurugenzi hawezi kutoa seti nyingine kwenu. Sheria inataka kila chama kipewe seti moja kwa mgombea mmoja. Acheni maneno, humu JF fuateni ushauri wa huyo Mkurugenzi ili mlitatue hili na kuwahi tarehe 26/08/2020, ambayo ni siku ya UTEUZI, vinginevyo hamtakuwa na mgombea kwenye Jimbo husika. CHANGAMKENI.
 
Wakiwa na akili watafuata ushauri wako,ila wakiwa wamejaa kiburi watakupinga na kukukejeli kwa maneno machafu.
 
Mtu anechukua fimu bila kuacha taarifa zake....
Hajaacha no ya simu wala p.o.box.

Yaan ka chukua form kama ananunua bagia. Shit
Kulingana na sheria ya mapato Tanzania hata Bagia ukinunua dai risiti na ukiuza toa risiti ili Ukikutana na Afisa wa Kodi uwe na cha kumwonyesha au muuzaji anaweza kamatwa kwa kukwepa kodi.DED akitaka mambo yasiwe mabaya kwake yeye na Chama chake atoe Fomu ya Ubunge mteule wa CDM kuepusha shari.Siku ya urejeshaji wa fomu Athumani akileta fomu aliyotapeli kuipata amkamate na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria vinginevyo watamtosa mambo yakiharibika.
 
Taarifa kutoka Mbezi tayari vigilantes wapo kazini, atapata salamu za wananchi soon
DED angekuwa na Hekima japo kidogo angesaidia kupatikana kwa hiyo fomu maana hapo anahatarisha uhai wake na huyo Athumani wake.Je,amewahi kuwaza kwamba endapo CDM wakimbaini huyo mgombea hewa aliyepewa fomu nini kitatokea?
 
Mtu anechukua fimu bila kuacha taarifa zake....
Hajaacha no ya simu wala p.o.box.

Yaan ka chukua form kama ananunua bagia. Shit
Sidhani kama ni kweli. Nadhani huyu mama atakuwa na uwendawazimu wa kiwango cha juu, kutoa majibu kama hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama kasoro hii aliyoifanya huyu hayawani ikarekebishwa, lazima huyu aadhibiwe - au na mamlaka yake ya uteuzi au na umma wa wananchi ili ajue kuwa hastahili kuwachezea wananchi.

Wanannhi kwanza waipe muda mfupi mamlaka yake ya uteuzi kumwajibisha. Kukiwa kimya, wananchi wachukue maamuzi. Ni halali kwa kiwango chochote kile kumwadhibu mhalifu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…