Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao wakurugenzi ns watumishi wa tume, si wote wajiriwa wa serekali??Hii ni moja ya vituko vya Tume ya uchaguzi kujumlisha wakurugenzi
Huyu mama ni ngosha?Kwa faida ya wanajf na wengine Sura yake huyo mkurugenzi Anayeitwa Beatrice Dominic hii hapa
View attachment 1542566
Bibi yeye anaagizwa so yeye ni mtekelezaji wa maagizo ya MwitaKwani hao wakurugenzi ns watumishi wa tume, si wote wajiriwa wa serekali??
Inaonyesha kabisa ule mchezo huyu mtu anaujua a-z, na ndio maana anawakomalia chadema ndio wanamtafute huyo mtu aliyejifanya mwana chadema na kuchukua form, ni dhahiri anajua hawatoipata ndio maana. Sasa hii michezo ya kitoto isivumiliwe mbona ukondoo umezidi, yaani hadi mtu anakuwekea kidole jichoni.Kwa faida ya wanajf na wengine Sura yake huyo mkurugenzi Anayeitwa Beatrice Dominic hii hapa
View attachment 1542566
Serikali. Nadhani unajua ni serikali ya chama gani.Wanao simamia uchaguzi ni CCM au ni serikali
Acheni uongo kuhusu jambo hilo. CHADEMA mnachezeana rafu wenyewe kwa wenyewe na kuendekeza uzembe. Kiongozi wenu wa ngazi ya mkoa ndio kamtambulisha huyo mgombea wenu na Mkurugenzi akampa seti moja ya fomu. Baadaye anakuja mgombea mwingine! Mkurugenzi hawezi kutoa seti nyingine kwenu. Sheria inataka kila chama kipewe seti moja kwa mgombea mmoja. Acheni maneno, humu JF fuateni ushauri wa huyo Mkurugenzi ili mlitatue hili na kuwahi tarehe 26/08/2020, ambayo ni siku ya UTEUZI, vinginevyo hamtakuwa na mgombea kwenye Jimbo husika. CHANGAMKENI.Wanabodi, nilianzisha uzi hapa kuhusu watendaji wa Serikali kuharibu taswira ya CCM, Watendaji wa Serikali wao hawana uchungu na chama wanaangalia mishahara na familia zao tu, Makosa ya watendaji wa serikali yanageuzwa kuwa CCM imewatuma kuvuruga upendo na Amani. Kuna baadhi ya mambo yamefanyiwa kazi mfano lile la kuruhusu vyombo vya BBC na Voa kuendelea na matangazo Katika uzi huu,
CCM hatuna hoja za kumjibu Tundu Lissu, tunakwamishwa na watendaji wa Serikali
Leo kuna kosa tena la Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kibamba Mama Beatrice ameanza kukichafua chama kwa kuficha fomu halisi ya mgombea ubunge wa CHADEMA Jimbo la Kibamba.
Ni dhahiri ameanza kutengeneza chuki dhidi ya chama cha mapinduzi.
Mamlaka chukueni hatua kali juu ya hawa watu kama hawa, Huyu Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kibamba wanatuchafulia chama mbele ya wananchi.
Kuna mbinu nyingi za kushinda uchaguzi ila sio za chuki na kuwakasirisha wananchi kama hii aliyotumia Mama Beatrice Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kibamba.
Mama Beatrice ameficha fomu mwenyewe anasingizia amempa mtu asiyemfahamu.
Mbinu kama hizi ndizo Tundu lissu a nazidi kupata wafuasi wengi huko Tunduma Mbeya.
Leo Tundu Lissu amewaaminisha malaki ya wananchi Tunduma kuwa TRA inatumwa na CCM kufilisi wafanyabiashara na kubambika kesi kwa wafanyabiashra.
Kosa la watendaji wa TRA sasa CCM inabeba mzigo usiobebeka.
Hili la Kibamba Msimamizi wa uchaguzi tayari anampa nguvu Tundu Lisu Kuhubiri kuwa wasimamizi wa uchaguzi wanakibeba chama chetu cha ccm hivyo hatakubali matokeo.
Kuna mambo ya msingi chama changu cha CCM kinapaswa kufanya.
Mosi, Kujitenga hadharani na watendaji kama hawa wa Kibamba kwa kuwakalipia na kuwaambia wananchi kuwa ccm hakijawatuma kuficha fomu za mgombea wa Chadema.
Pili, CCM itamke hadharani kuwa haiusiki na utekaji au kupiga watu risasi, Kama watendaji ndio walifanya CCM ijitenge nao, Tundu Lisu amegeuza makosa ya watendaji wa serikali kuwa ni ya CCM na wananchi wanayaamini huko Tunduma.
Huko Tunduma CCM imegeuzwa kama genge la utekaji, ufilisi wa mali za wakulima na wafanyabiashara na kundi la kihalifu kwa hoja alizozijenga Tundu lissu, Kosa sio CCM bali washauri na watendaji wa serikali.
Msimamizi wa uchaguzi Kibamba anakiabisha chama chetu cha CCM kwa kujenga chuki mbele ya wananchi.
Kulingana na sheria ya mapato Tanzania hata Bagia ukinunua dai risiti na ukiuza toa risiti ili Ukikutana na Afisa wa Kodi uwe na cha kumwonyesha au muuzaji anaweza kamatwa kwa kukwepa kodi.DED akitaka mambo yasiwe mabaya kwake yeye na Chama chake atoe Fomu ya Ubunge mteule wa CDM kuepusha shari.Siku ya urejeshaji wa fomu Athumani akileta fomu aliyotapeli kuipata amkamate na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria vinginevyo watamtosa mambo yakiharibika.Mtu anechukua fimu bila kuacha taarifa zake....
Hajaacha no ya simu wala p.o.box.
Yaan ka chukua form kama ananunua bagia. Shit
DED angekuwa na Hekima japo kidogo angesaidia kupatikana kwa hiyo fomu maana hapo anahatarisha uhai wake na huyo Athumani wake.Je,amewahi kuwaza kwamba endapo CDM wakimbaini huyo mgombea hewa aliyepewa fomu nini kitatokea?Taarifa kutoka Mbezi tayari vigilantes wapo kazini, atapata salamu za wananchi soon
Kuna nyuso nyingine ukizitazama tu, zinaashiria kuendana na uovu.Kwa faida ya wanajf na wengine Sura yake huyo mkurugenzi Anayeitwa Beatrice Dominic hii hapa
View attachment 1542566
Sidhani kama ni kweli. Nadhani huyu mama atakuwa na uwendawazimu wa kiwango cha juu, kutoa majibu kama hayo.Mtu anechukua fimu bila kuacha taarifa zake....
Hajaacha no ya simu wala p.o.box.
Yaan ka chukua form kama ananunua bagia. Shit
Hii mbaula ndiyo inaleta za kuleta,sura ya kuzimu kabisa hii.Kwa faida ya wanajf na wengine Sura yake huyo mkurugenzi Anayeitwa Beatrice Dominic hii hapa
View attachment 1542566