Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Leo Mjanja M1 nimechukizwa sana, tena sana. Hivi nyie wasimamizi vya vyombo vya habari kazi yenu kubwa ni nini?
Mnaacha watu wanalishwa matango pori na watu wenye media kubwa na hamchukui hatua yoyote.
Angalia hii habari hapa chini, nimejaribu kuziba jina la hiyo media ili kutomchafua kwakuwa naamini anaweza kujirekebisha.
Kwenye hii habari hapo Keir Starmer alikuwa sio waziri mkuu na ilikuwa ni kipindi cha corona lakini mwandishi ameamua kupost na kuwafanya watu wasiofuatilia habari waamini kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametimuliwa kwenye Bar kipindi hiki akiwa waziri mkuu.
Kama umeiona hiyo habari utakubaliana na mimi, maana wachangiaji wengi walikuwa wanatoa maoni wakiamini kuwa ni Waziri Mkuu ndio alifukuzwa kwenye mgahawa.
Ukija kwenye media nyengine za online ndio balaa zaidi, maana na huko kuna matango pori kinomah!
Ushauri - enyi wamiliki wa hizi media za online, fanyeni busara ya kupost habari zenye ukweli na zisizoleta mtafaruku na uongo kwa wasomaji wenu.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Los Angeles nchini Marekani 🇺🇸