Wasimuliaji wenye sauti nzuri sana, na zenye mvuto

Ananias Edgar kwangu mimi ni namba moja ,huyo mtiga wenu hamfikii japo hawajazidiana sana .
 
Mtiga Abdallah, "The real deal" uyu jamaa ndo alifanya nkaipenda The Story Book cku hz smakii hta the story book sioni mvuto namfata zangu YouTube hko najilia uhondo wa voice yke matata (kafungua YouTube channel)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya taarifa ya habari TBC kuna kipindi zamani kikiitwa mazungumzo baada ya habari
Siku hizi wanaita Tafauri ya leo

Ukiachilia mbali kisifia awamu ya 5 jamaa anasimulia vizuri sana kwa kiswahili fasaha kilicho nyooka na semi na methali tamu

Mbeleni huko
Kwenye Net Geo Wild kuna jamaa anahadithia vizuri kweli kipindi cha wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…