Wasimuliaji wenye sauti nzuri sana, na zenye mvuto

Wasimuliaji wenye sauti nzuri sana, na zenye mvuto

Shabani ndege BBC swahili kwenye usomaji wa habarna charles hilary enzi hizo BBC swahili ulimwengu wa soka hatakama naaangalia kwenye tv ntahakikisha navaa na earphone nimsikilize pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Jpm yuko vizuri alisimulia jinsi alivyo wekewa sumu kwa kweli inasikitisha
 
Veronica Frank yupo EFM kasajiliwa dirisha dogo kwenye kipindi cha ubaoni segment ya report ya leo. Mi mwenyewe nimeanza kumfatitilia kwa sababu muda unaruhusu.
 
Back
Top Bottom