Wasio la loan udom.

Mbona ka unakmbizwa! Hem simama toa tarifa hakuna msosi au tayari mmenyanyua bango?
 
dogomkama haunaga cha kuongea jitahidi kunyamaza tuu, au hako kasim kako kamchina ndo kanakupa jeuri ya kutujazia thred humu.. pppuuummbbb.........fffffffffffffffffuuuuuuuuuuuuu
 
Maisha ya udom kiujumla ni magumu yani kwa wenye loan na wasio na loan,gharama za maisha ziko juu mf. Compendium lazima ununue,vitin,typing works,chakula mostly ni cafeteria minimum@1500 per meal au ubahatishe kwa wajasi,saa nyingine hela unayo unakosa huduma,maji lazima ununue au udownload we acha tu,anayeishi udom bila loan kajipanga wakuu.kupiga long pass kawaida sana
 

ha yaan kumbe mlikuwa mnakula bata! Inamaa compendium,handout na copy mlikua hamnunui au? Hivo ni comon mbona! Hata maji ya kunywa kununua si kitu kigeni pande ka Sua na Ud. Labda nkupe ujanja tumia mozira a.k.a birika la kuchemshia maji. Upunguze gharama
 
ndo maisha ya chuo yalivo usiwaze kijana acha wasiwasi:target:
 

Hapo kwenye red kama sijakupata mkuu, hebu ntoe gizani kidogo,
 
Haaaa haaaa haaaaa,kazi ipo mwaka huu apo udom siku si nyingi wataanza kunyanyua mabango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…