Laurean Mseya
New Member
- Aug 12, 2012
- 2
- 0
Jamani eeeh kwa ambao hawana loan udom hapafai ni balaa................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya udom kiujumla ni magumu yani kwa wenye loan na wasio na loan,gharama za maisha ziko juu mf. Compendium lazima ununue,vitin,typing works,chakula mostly ni cafeteria minimum@1500 per meal au ubahatishe kwa wajasi,saa nyingine hela unayo unakosa huduma,maji lazima ununue au udownload we acha tu,anayeishi udom bila loan kajipanga wakuu.kupiga long pass kawaida sana

Hapo kwenye red kama sijakupata mkuu, hebu ntoe gizani kidogo,