Sasa si ndiyo wanatafuta kazi hapo, au?Kuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa?
View attachment 3147086
Hiyo kanuni iko kinyume na katiba na hivyo ni batili.Hapo na mimi nimeduwaa, sikuwahi kujua kuna kanuni ya kuwa na kazi kama kigezo cha kugombea huko.
Mtu anataka uongozi halafu hana kazi maana yake kipato chake kinaingia kwa wizi au? Hawamaanishi awe na ajira ya mikataba wajameni kazi inayokusudiwa hapo ni shughuli kuu mtu anayojishughulisha nayoTofauti ya kazi na ajira ni ipi?
Huwa wanasema awe na kipato halaliHiyo kanuni iko kinyume na katiba na hivyo ni batili.
Ipelekwe mahakamani watu wapate hukumu na tafsiri ya katiba.
Mama wa nyumbani aliyeolewa na anamtegemea mume wake ana kipato gani? Kwa hiyo haruhusiwi kugombea??Mtu anataka uongozi halafu hana kazi maana yake kipato chake kinaingia kwa wizi au? Hawamaanishi awe na ajira ya mikataba wajameni kazi inayokusudiwa hapo ni shughuli kuu mtu anayojishughulisha nayo
Hana kazi maana yake hajishughulishi na shughuli yoyote yeye ni kupanda na kushuka aka mzurulaji! Sasa atapewaje uongozi mtu asiyejishughulisha kutwa kuzurura?
Wakiwa na kazi wataambiwa mshahara wao mdogo, wakiandika mshara mkubwa wataambiwa wameupata kwa wizi. Mbaya hakosi sababuKuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa?
Pia soma
- LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara
View attachment 3147086
Hata hilo la kuwa na kipato halali ni kinyume na katiba.Huwa wanasema awe na kipato halali
Ujasiriamali sio kazi? Ccm ni mashetani makubwa sana ndio maana mpaka viongozi wakubwa Wana tuhuma za ulawiti! Aibu hayana! Kwanza anakaa ofisi mara Kwa mara hiyo kazi ya Ajira atafanya saa ngapi?Kuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa?
Pia soma
- LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara
--
"Kibamba hapa Dar es Salaam wapo wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) walioenguliwa sababu eti kwamba hana kazi ya kumpatia kipato halali, ni kwa sababu wameandika ni wajasiriamali sasa unajiuliza sijui walitaka watu wetu wadanganye kuwa ni wakulima ili mwisho wa siku waseme Dar es Salaam hakuna mashamba"
View attachment 3147086