Wasio na akili ni waliompitisha Mpina kugombea urais kwa niaba ya CCM na siyo yeye

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.

Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangiwa. Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????

Tatizo la waTz ni kutokuelewa ni vipi CCM wanaendesha vyama vya upinzani kwa maslahi ya CCM.

MPINA YUKO KAZINI ACT SIYO WA KUMWAMINI !!!!!!

SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BINAFSI..............
 
Kama Mpina ni jasiri na anania ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangwiwa.
Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????
 
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni ccm na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu ccm na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.

SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BONAFSI..............
uko sahihi
 
Haya si ndio yale ya Chadema na Lowasa, leo imekuwaje tena Lowasa alionekana shujaa Mpina anaoneka msaliti?.
 
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni ccm na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu ccm na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.

Kama Mpina ni jasiri na anania ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangwiwa.
Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????

Tatizo la waTz ni kutokuelewa ni vipi CCM wanaendesha vyama vya upinzani kwa maslahi ya CCM.

MPINA YUKO KAZINI ACT SIYO WA KUMWAMINI !!!!!!

SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BONAFSI..............
Hili jambo sio geni ni moja ya TRICK za CCM na tunalifahamu muda mrefu.
 
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.

Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangiwa. Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????

Tatizo la waTz ni kutokuelewa ni vipi CCM wanaendesha vyama vya upinzani kwa maslahi ya CCM.

MPINA YUKO KAZINI ACT SIYO WA KUMWAMINI !!!!!!

SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BINAFSI..............
Mbowe na wengi walioahama Chadema wanapinga No reform no election, upande wao unajulikana, ndivyo ilivyo kwa wanaCCM wote akiwepo Polepole, Gwajima na Mpina.

Hakuna hata mmoja anayeunga mkono ajenda za Chadema, ila Chadema kutwa wako kuimba pambio zao kana kwamba ni wenzao.

Mpina anajua wazi ACT ni tawi la.. ila yeye ametumwa toka HQ kuendeleza maigizo.
 
Inshu ya Mpina ni sawa na ya Lissu

Mbowe alipotumia ghiliba kutamka kumuondoa Lissu kwenye uongozi wa Chama kwa Kumtumia Wenje ni sawa na Samia alipoamua kumuondoa Mpina.

Sasa ni Mpina Vs Samia
 
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.

Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangiwa. Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????

Tatizo la waTz ni kutokuelewa ni vipi CCM wanaendesha vyama vya upinzani kwa maslahi ya CCM.

MPINA YUKO KAZINI ACT SIYO WA KUMWAMINI !!!!!!

SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BINAFSI..............
Sasa wewe kiachokukereketa ni kitu gani haswa.
Kwani wewe umenyimwa fursa ya kugimbea Urais?
 
Kwa nafasi ya Urais Bora Mpina kuliko Mbowe na Chaumma yake. .Huyu kanda ya ziwq ana kura nyingi sana kuliko CCM
Kuwa na kura nyingi siyo shida je atapata urais kweli au ni bora ubunge hata kama ni mamuruki wa ccm?
Sasa wewe kiachokukereketa ni kitu gani haswa.
Kwani wewe umenyimwa fursa ya kugimbea Urais?

Uzi huu siyo kwaajili yako hivyo huwezi kuuelewa mimi siyo mkereketwa mwanamapinduzi ya kweli!!
 
Back
Top Bottom