HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
uko sahihiHaihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni ccm na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu ccm na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.
Kama Mpina ni jasiri na anania ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangwiwa.
Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????
Tatizo la waTz ni kutokuelewa ni vipi CCM wanaendesha vyama vya upinzani kwa maslahi ya CCM.
MPINA YUKO KAZINI ACT SIYO WA KUMWAMINI !!!!!!
SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BONAFSI..............
Haya si ndio yale ya Chadema na Lowasa, leo imekuwaje tena Lowasa alionekana shujaa Mpina anaoneka msaliti?.Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni ccm na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu ccm na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.
Msakiti ndio nn?Haya si ndio yale ya Chadema na Lowasa, leo imekuwaje tena Lowasa alionekana shujaa Mpina anaoneka msakiti?.
Hili jambo sio geni ni moja ya TRICK za CCM na tunalifahamu muda mrefu.Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni ccm na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu ccm na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.
Kama Mpina ni jasiri na anania ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangwiwa.
Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????
Tatizo la waTz ni kutokuelewa ni vipi CCM wanaendesha vyama vya upinzani kwa maslahi ya CCM.
MPINA YUKO KAZINI ACT SIYO WA KUMWAMINI !!!!!!
SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BONAFSI..............
Kwa nafasi ya Urais Bora Mpina kuliko Mbowe na Chaumma yake. .Huyu kanda ya ziwq ana kura nyingi sana kuliko CCMKalaghabaho.
Binafsi kwa nafasi ya urais nitampa kura yangu Mpina
Kwa akili ndogo uliyonayo huwezi kuelewa kilichoandikwa!!Umeji contradict.Unasema hana nguvu na hapohapo unasema ni project ya CCM kwenda kuvuruga upinzani. Kipi ni kipi sasa?
Shida itakuwa kuzilinda sasa hizo kura! Ningekuwa napiga kura ningempatia kura yangu!Kwa nafasi ya Urais Bora Mpina kuliko Mbowe na Chaumma yake. .Huyu kanda ya ziwq ana kura nyingi sana kuliko CCM
Mbowe na wengi walioahama Chadema wanapinga No reform no election, upande wao unajulikana, ndivyo ilivyo kwa wanaCCM wote akiwepo Polepole, Gwajima na Mpina.Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.
Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangiwa. Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????
Tatizo la waTz ni kutokuelewa ni vipi CCM wanaendesha vyama vya upinzani kwa maslahi ya CCM.
MPINA YUKO KAZINI ACT SIYO WA KUMWAMINI !!!!!!
SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BINAFSI..............
Sasa wewe kiachokukereketa ni kitu gani haswa.Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.
Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi angegombea nafasi ya UBUNGE na siyo URAIS kwani huo ni uwendawazimu tena wa kupangiwa. Hivi kweli Mpina akashinde urais kupitia ACT au aiwezeshe ACT kupata viti vingi ubunge na udiwani kama mtaji,kwa kipi hasa?????
Tatizo la waTz ni kutokuelewa ni vipi CCM wanaendesha vyama vya upinzani kwa maslahi ya CCM.
MPINA YUKO KAZINI ACT SIYO WA KUMWAMINI !!!!!!
SULUHISHO NI KUWA NA MGOMBEA BINAFSI..............
Kuwa na kura nyingi siyo shida je atapata urais kweli au ni bora ubunge hata kama ni mamuruki wa ccm?Kwa nafasi ya Urais Bora Mpina kuliko Mbowe na Chaumma yake. .Huyu kanda ya ziwq ana kura nyingi sana kuliko CCM
Sasa wewe kiachokukereketa ni kitu gani haswa.
Kwani wewe umenyimwa fursa ya kugimbea Urais?