Sheria ya uchaguzi inataja mojawapo ya sifa ya mpiga kura,lazima asajiliwe na NEC sio NIDA,tena hata kama umepoteza kitambulisho lakini jina lako lipi kwenye orodha ya wapiga kura kwenye kituo husika,baada ya utambuzi msimazi wa kituo atakupa karatasi za kupiga kuraWasiwasi wangu nikua itakuaje kama kitambulisho hicho kitatumika kama kigezo namba moja kwa wananchi kuchagua viongozi wanao wapenda?
Jawabu maridhawa kabisa! ππππZoezi la uandikishaji wapiga kura lilishaanza tayari, jiandae kujiandikisha upige kura yako.
Kadi itakayotumika ni ya mpiga kura sio ya taifa