Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Huwezi kujadili kuhusu sheria ambayo ndio msingi wa ibada wa dini ya kiislamu,na kutoa maoni yako au mawazo yakoSio mbaya watu wakijadili kwa namna wanavyoona wao muhimu tu maneno yao yasiwatoe kwenye malengo yenu
Aisee kwa makasiriko haya uislamu siyo dini Trump aendelee kuwapelekea motoView attachment 3561352
Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu?
Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa mwezi,wengi ambao sio waislamu ndio wa kwanza kuiponda Bakwata kwamba ni chombo sijui cha Ccm au sijui cha Serikali,huu ujinga mmeutoa wapi?
Yani kwakuwa tu sikukuu haikuangukia Ijumaa basi ujinga wenu,upuuzi wenu wote mnaulekeza kwa Bakwata, je mnajua kuhusu elimu ya figh ya dini ya kiislamu?
Kama hamjui sasa mnapata wapi gut za kuzungumzia kitu ambacho hamkijui? Yani sawa sawa na Mimi leo kobazi nizungumzie kuhusu Naziri wanazo weka makatekitsi au mafaza au mabraza,though nilipata elimu kidogo kuhusu hili lakini sina gut ya kueleza kama wakatoliki wenyewe
Uislamu katika elimu ya figh/ Sheria ya dini kuhusiana na ibada mbali mbali,inasema kuelekeza njia mbili ambazo waislamu wanaweza kufunga au kufungua kutokana na muandamo wa mwezi
Kuna ile kuona mwezi mahali popote pale na kuna ile kuuona mwezi kutokana na jografia ya zone husika,na hiyo ya kuona kutokana na zone ya nchi husika ukanda husika ndio ambayo imekuwa ikitumika karne na karne,sasa Leo hii Bakwata wakitumia njia hiyo ndio mnawaona vibaraka wa CCM au Serikali?
Stay away from our business!!!
Ni hayo tu!
Sifikiri kama kujadili inaweza badili na kuwatoa kwenye mifumo yenu naona tu ni haki ya kutoa maoni 🤔Huwezi kujadili kuhusu sheria ambayo ndio msingi wa ibada wa dini ya kiislamu,na kutoa maoni yako au mawazo yako
Jadili kuhusu mambo mengine lakini sio msingi wa ibada ambao kutoweko kwake basi kunafanya ibada nzima kuwa batili
Nguvu kubwa sana na povu lote hilo kuitetea dini ya allahView attachment 3561352
Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu?
Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa mwezi,wengi ambao sio waislamu ndio wa kwanza kuiponda Bakwata kwamba ni chombo sijui cha Ccm au sijui cha Serikali,huu ujinga mmeutoa wapi?
Yani kwakuwa tu sikukuu haikuangukia Ijumaa basi ujinga wenu,upuuzi wenu wote mnaulekeza kwa Bakwata, je mnajua kuhusu elimu ya figh ya dini ya kiislamu?
Kama hamjui sasa mnapata wapi gut za kuzungumzia kitu ambacho hamkijui? Yani sawa sawa na Mimi leo kobazi nizungumzie kuhusu Naziri wanazo weka makatekitsi au mafaza au mabraza,though nilipata elimu kidogo kuhusu hili lakini sina gut ya kueleza kama wakatoliki wenyewe
Uislamu katika elimu ya figh/ Sheria ya dini kuhusiana na ibada mbali mbali,inasema kuelekeza njia mbili ambazo waislamu wanaweza kufunga au kufungua kutokana na muandamo wa mwezi
Kuna ile kuona mwezi mahali popote pale na kuna ile kuuona mwezi kutokana na jografia ya zone husika,na hiyo ya kuona kutokana na zone ya nchi husika ukanda husika ndio ambayo imekuwa ikitumika karne na karne,sasa Leo hii Bakwata wakitumia njia hiyo ndio mnawaona vibaraka wa CCM au Serikali?
Stay away from our business!!!
Ni hayo tu!
Ukikemea ujinga hutakiwi kutabasamu,unatakiwa kunyoosha maelezo ili ujumbe ufikeAisee kwa makasiriko haya uislamu siyo dini Trump aendelee kuwapelekea moto
Uislam ni dini ya haki.Sifikiri kama kujadili inaweza badili na kuwatoa kwenye mifumo yenu naona tu ni haki ya kutoa maoni 🤔
Tunaloweza kufanya ni kuwaelimisha kama nilivyofanya,sasa ni juu yako ukaze fuvu au uelemikeNguvu kubwa sana na povu lote hilo kuitetea dini ya allah
Sasa tunasema hiviii, kwakuwa hatuvunji sheria za nchi hatuachi kuwaelekeza nyie na HAMNA LOLOTE LA KUTUFANYAAAA
Huwezi kujadili kuhusu sheria ambayo ndio msingi wa ibada wa dini ya kiislamu,na kutoa maoni yako au mawazo yako
Jadili kuhusu mambo mengine lakini sio msingi wa ibada ambao kutoweko kwake basi kunafanya ibada nzima kuwa batili
Ubaya wa ujinga ukisemwa sana au kusikika sana huwa unaaminiwa kuwa ni ukweli hasa kwa kizazi hiki cha wasiojielewa,ndio maana tunaweka records straightSifikiri kama kujadili inaweza badili na kuwatoa kwenye mifumo yenu naona tu ni haki ya kutoa maoni 🤔
Hauna hatimiliki ni dini, dini yenyewe imetoka kwa Waarabu, usitutishe.
Bwashee sijaelewa kidogo, kwani kwa mujibu wa qur'an inasemaje kuhusu sikukuu za Eid?Ubaya wa ujinga ukisemwa sana au kusikika sana huwa unaaminiwa kuwa ni ukweli hasa kwa kizazi hiki cha wasiojielewa,ndio maana tunaweka records straight
Huyu ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
Weka mambo sawa nyumbani kwako na msikitini kwako, huku nje dini ni ya wote, huna authority au hakimiliki nayo.Hati miliki unajua wewe,Mimi wajibu wangu ni kuweka mambo sawa,period
Bwashee elimu au maarifa katika dini ya uislamu,yana vyanzo viwili tuBwashee sijaelewa kidogo, kwani kwa mujibu wa qur'an inasemaje kuhusu sikukuu za Eid?
Kwa hio ni biashara sio dini au imani km mnavyoielezea? Umesema wewe sijasema mimi kwamba mnafanya biasharaStay away from our business!!!