Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

Bwashee elimu au maarifa katika dini ya uislamu,yana vyanzo viwili tu

Qur'an na hadith au maelekezo ya Mtume,kuna mambo hayajafafanuliwa zaidi na qur'an ila yamekuja kufafanuliwa na MTUME
Hapo nimekusoma , hivyo kwa mujibu wa qur'an na hadithi Bakwata wapo sahihi?
 
Sasa kama hao walio soma hawajui tu kuhusu elimu ya mwandamo wa mwezi,elimu yao waliosoma wamejifunza nini sasa??
 
Japo Imani zote ni sawa tu hadithi za Abunuasi lakini ukweli ni Kobazi ndiyo waanzilishi wa kuzungumzia imani za Wagalatia, walianzia enzi za mihadhara na Wagalatia nao wakaanzisha yao wakawa wanapigwa na Kobazi kila wabapoichambua Qur'an.
Kuhusu BAKWATA kuwa part and parcel ya CCM na serikali hilo liko wazi lakini kwenye hayo mambo ya kuonekana mwezi au la ndiyo moja ya obvious gaps kwenye hizo hadithi za kale.
 
Sasa huu ujinga si ndio kama huo ulioandika hapa,kwamba kuna wengine wanaamini ni chombo cha serikali na wengine wanaona tofauti

Vyovyote itakavyokuwa,Bakwata haiwezi kuamuliwa mambo ya dini na serikali au ccm

Wanaweza kufanya mambo mengine lakini si swala la ibada za kiislamu,period
 
Wenzako wapo bado karne ya mawe,leo wapo mwaka wa 1444 so mleta mada kwa muktadha huo yupo sahihi kwamba muumini anayeishi kiimani mwaka huo hapo juu (maana kama mwaka huu na karne hii 21 hakuna atakaeelewa) hawezi kuhoji sana.
 
Wenzako wapo bado karne ya mawe,leo wapo mwaka wa 1444 so mleta mada kwa muktadha huo yupo sahihi kwamba muumini anayeishi kiimani mwaka huo hapo juu (maana kama mwaka huu na karne hii 21 hakuna atakaeelewa) hawezi kuhoji sana.
Unajua kuhusu huo mwaka ulianza kuhesabiwa kwasababu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…