Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

Njoo Kilimarathon mtaacha kujadili kwa muda.Mjionee uumbaji wa Mkuu wa Mbingu na Nchi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Oya Wazee Mkuu wa Majeshi ni fundi kinyama..si Ashura,si Aisa si Dorine si Catie..watoto wakali wakali...

Manina mje huku ....Amuz ..Kili home
Njooni mtoe makasirikoπŸ˜€πŸ˜€
 
Wataendelea kusema na hakuna kitu mtafanyaπŸ˜€
Muhimu wapotezeeni watu hao kama wenyewe mnajua dini yenu
 
Tunajadili na hakuna kitu utafanya🀣
 
Nani alikuwa sahihi kati ya ijumaa na jumamosi maana wapo waislam waliopingana wenyewe kwa wenyewe.
 
Mkuu jambo muhimu ni BAKWATA kubadilika siasa zao zimesha pita na wakati, mpaka wasio waislamu wameshituka, mkuu acha kupangia watu lipi la kujadili kama wanacho jadili sio Fatua au Quran ila upuuzi wa baadhi ya viongozi wetu sioni shida yote, wambie viongozi wa bakwata wabadilike waislamu wame elimika tayari.
 
[SIZE=5]Waelimike katika nini? Katika kufuata mwezi wa kimataifa au[/SIZE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…