Kalenda inasema idd ni siku mbili sio, kwa nini isiwe siku ya kwanza ni ya wanao tumia mwezi wa kimataifa na siku ya pili iwe ni kwa wengine ili wote wanufaike na siku hyoUmetoa ufafanuzi mzuri ila kiuhalisia madhehebu ya dini ya kiislam ni mengi na kila dhehebu lina mtazamo wake katika kutekeleza ibada hivyo basi Serikali haiwezi ku-favor kila dhehebu na kulipa uzani sawa maana kutakuwa na matukio mengi na hivyo kuzuia shughuli nyingine za kiserikali
Mfano Sunni na Taasisi yao watambulike, halikadharika shia, ahamadia, suffi na kwa upande mwingine kuna Catholic, KKKT, TAG, SABATO nk hapo utakuta kalenda yote ni matukio ya kidini tupu
Hivyo basi kuna ulazima wa nyie wahusika wenyewe kutafuta platform moja ya kuwawakilisha serikalini msipofanya hivyo Serikali itawasaidia kama ifanyavyo sasa
Naamini ivo ikiundwa na waislam na kila dhehebu likawa na mwakilishi kwenye hiyo taasisi ya kiislam itakayoundwa itaamuniwa na waislam wote.Una uhakika wakiunda upya Taasisi hiyo Taasisi itakuwa balanced kwa madhehebu yote ya kisunni, suffi, shia, ahamadia na Al Sunnah waljamaat katika maswala ya hitilafu kama vile muandamo wa mwezi?
Hicho kitu hakiwezi kutokea never! Ndio maana unaona nchi za kiislamu Vita haiishi usimuone Nyerere ni mpumbavu kuanzisha Bakwata na kuipa nguvu ya kimamlaka katika kuwasimamia waislamu wa madhehebu yoteNaamini ivo ikiundwa na waislam na kila dhehebu likawa na mwakilishi kwenye hiyo taasisi ya kiislam itakayoundwa itaamuniwa na waislam wote.
Tatizo la BAKWATA inaacha wasiwasi kwamba haikuundwa na waislam.
Ipo kama taasisi ya kisiasa
Ndo maana hakuna Waislam wanaiamin BAKWATA
Eid ilikuwa ijumaa period
Hakuna waislam walingonja Eid ya BAKWATA aka Eid ya mama
Binafsi kinawezekanaHicho kitu hakiwezi kutokea never! Ndio maana unaona nchi za kiislamu Vita haiishi usimuone Nyerere ni mpumbavu kuanzisha Bakwata na kuipa nguvu ya kimamlaka katika kuwasimamia waislamu wa madhehebu yote
Huwezi kulinganisha misimamo ya Sunni, shia, ahamadia na Suffi ikalingana kamwe haiwezi tokea kama hilo suala la mwezi haliwezi kutatuliwa kwa kukaa chini ila tu kwa mwezi wenyewe kuonekana na watu wa eneo husika
Swali: wewe kama wewe siku ya alhamisi mwezi uliuona? Au wailaumu bakwata wakati hata huo mwezi wenyewe hukuufuatilia na wala haukuhusu
Wewe umeona wapi nchi zenye wakiristo wengi zikawa na Vita? Za kiislamu je? Mkuu usibishe tu ilimradi tumia ufahamu na uelewa dini ya kiislamu na ya kikiristo ni dini mbili tofauti kabisa tena zimeachana umbali mkubwa mnooBinafsi kinawezekana
Mbona wakristo wa kkkt, RC, pentecostal, sda wanafanya kwaresma na pasaka 1
Hivi TANZANIA ndo ina waislam wakofi pekee?Wewe umeona wapi nchi zenye wakiristo wengi zikawa na Vita? Za kiislamu je? Mkuu usibishe tu ilimradi tumia ufahamu na uelewa dini ya kiislamu na ya kikiristo ni dini mbili tofauti kabisa tena zimeachana umbali mkubwa mnoo
Hizo nchi zote ulizotaja waislam hawajitambui au hawana nguvu wametawaliwa na wakiristo mfano mdogo tu Kenya haijawahi kuwa na rais mwislam toka ipate Uhuru na huo ndio ukweli mchunguHivi TANZANIA ndo ina waislam wakofi pekee?
Mbona taasisi za kiislam za nchi nyingine zinafanya vyema na zinaheshimika
Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, n. K
Me sio muislam anatamam Waislam wapate chombo kingine tofauti na BAKWATA
Wangefanya hivyo idd ingekuwa siku tatu kumbuka Sunni wameanza kufunga mwezi 28 ambao kwao wao ni mwezi 29 hivyo basi mwezi 30 kwao kwa wengine ni mwezi 29 na Serikali inatambua siku mbili kila mwaka yani idd mosi na idd pili ndio maana miaka mingine tunaenda sawa tu bila malalamiko kwani huwa wao wakila 29 wengine wanakula 30 japo wao kwao itakuwa wanapumzika idd piliKalenda inasema idd ni siku mbili sio, kwa nini isiwe siku ya kwanza ni ya wanao tumia mwezi wa kimataifa na siku ya pili iwe ni kwa wengine ili wote wanufaike na siku hyo
Nasikitika sana haya nayasikia kutoka kwa mtu ambaye ni muislamu,kama ni muislamu asiye na elimu ya kutosha basi sikulaumuAcha kutetea upuuzi huo hao BAKWATA wako wanatudhalilisha mbele ya uso wa dunia, dunia nzima ina sherekea Iddi siku ya Ijumah kasoro hao wa pumbavu wa bakwata , ambieni wa ondowe siasa kwenye dini yetu, mambo yao ya usalama wayapeleke pengine.
Daaah Ile nyie watu aiseeHizo nchi zote ulizotaja waislam hawajitambui au hawana nguvu wametawaliwa na wakiristo mfano mdogo tu Kenya haijawahi kuwa na rais mwislam toka ipate Uhuru na huo ndio ukweli mchungu
Kwa kudumisha amani ya nchi Bakwata ni chombo imara sana cha kusimamia maslahi ya waislam Tz kwani siku zote huwezi kufurahisha kila mtu haijawahi kuwa kivyo toka dunia iumbwe
Hamna kufuata miruzi BAKWATA wana dhihaki Dini yetu kwa kutanguliza siasa kuliko Imani, kwasbb waislam wengine kama kua bakwata ni ujira mko tayari kutetea upuuzi weni, aibu tunaiona sie tunao tanguliza Imani kuliko masirahi,.......muislamu mwenye uelewa mwenye akili timamu asio kua na upande huwezi kutetetea kitendo cha bakwata kugawa waislamu wa Tanzania kwa masirahi yao, nakujificha kwenye Hadith na Quran very foolish.Nasikitika sana haya nayasikia kutoka kwa mtu ambaye ni muislamu,kama ni muislamu asiye na elimu ya kutosha basi sikulaumu
Ila kama unaelimu yako basi unachofanya ni ujinga,nawe umeingia kwenye mtego na nyimbo zile zile za watu kuisema vibaya Bakwata pasina hoja madhubuti,kwahiyo leo hii wagalatia watupangie lini itskuwa eid? Au tupange eid siku fulani kwakuwa tu eti tunadhalilika?
Umesahau aya hii:
“Wala Mayahudi na Manasara hawatakuwa radhi nawe mpaka ufuate dini yao. Sema: Hakika uongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uongofu (wa kweli). Na ukifuata matamanio yao baada ya yale yaliyokujia katika elimu, hutakuwa na mlinzi wala msaidizi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.”
(Surah Al-Baqarah 2:120)
Ikiwa sisi waislamu tuna elimu juu ya mwandamo wa mwezi ,je utawafuata ambao hawajui figh ya dini yetu? Kwahiyo kwako wewe kuwafurahisha watu ni bora zaidi kuliko kufuata misingi ya dini?
Swali kwako dogo la kutafakari,kama wote tunafuata mwezi wa kimataifa,mbona Saudi Arabia hawafuati mwezi mwengine wowote ule usipokuwa ule unaotoka kwao??? Je wao hawajui elimu ya mwandamo wa mwezi?
Usiwe mjinga na kufuata miluzi ya watu,bali fuata haki siku zote,hitilafu ya kuuona mwezi imekuwepo hata kabla ya Bakwata kuwepo ,imeanzia karne nyingi sana huko nyuma,na itaendelea mpaka kiama,usiwe miongoni mwa wajinga
Tena aya yenyewe aliyoweka inazungumzia vitu kama maulid ambapo haikuwa ni desturi ya uislamu ila bakwata wanaihamasisha sanaHamna kufuata miruzi BAKWATA wana dhihaki Dini yetu kwa kutanguliza siasa kuliko Imani, kwasbb waislam wengine kama kua bakwata ni ujira mko tayari kutetea upuuzi weni, aibu tunaiona sie tunao tanguliza Imani kuliko masirahi,.......muislamu mwenye uelewa mwenye akili timamu asio kua na upande huwezi kutetetea kitendo cha bakwata kugawa waislamu wa Tanzania kwa masirahi yao, nakujificha kwenye Hadith na Quran very foolish.
Bakwata ni wanabidia sana mareed wanao tangaza na kupa umuhimu ni jikwa la siasa kwao kuweka sera na matangazo kwa watanzania wasio elewa dini yao mauredi ni political capital kwa bakwata sio dini.Tena aya yenyewe aliyoweka inazungumzia vitu kama maulid ambapo haikuwa ni desturi ya uislamu ila bakwata wanaihamasisha sana
Kobazi umechafukwa pole,dini ni ugonjwa wa akili hasa uislamView attachment 3561352
Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu?
Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa mwezi,wengi ambao sio waislamu ndio wa kwanza kuiponda Bakwata kwamba ni chombo sijui cha Ccm au sijui cha Serikali,huu ujinga mmeutoa wapi?
Yani kwakuwa tu sikukuu haikuangukia Ijumaa basi ujinga wenu,upuuzi wenu wote mnaulekeza kwa Bakwata, je mnajua kuhusu elimu ya figh ya dini ya kiislamu?
Kama hamjui sasa mnapata wapi gut za kuzungumzia kitu ambacho hamkijui? Yani sawa sawa na Mimi leo kobazi nizungumzie kuhusu Naziri wanazo weka makatekitsi au mafaza au mabraza,though nilipata elimu kidogo kuhusu hili lakini sina gut ya kueleza kama wakatoliki wenyewe
Uislamu katika elimu ya figh/ Sheria ya dini kuhusiana na ibada mbali mbali,inasema kuelekeza njia mbili ambazo waislamu wanaweza kufunga au kufungua kutokana na muandamo wa mwezi
Kuna ile kuona mwezi mahali popote pale na kuna ile kuuona mwezi kutokana na jografia ya zone husika,na hiyo ya kuona kutokana na zone ya nchi husika ukanda husika ndio ambayo imekuwa ikitumika karne na karne,sasa Leo hii Bakwata wakitumia njia hiyo ndio mnawaona vibaraka wa CCM au Serikali?
Stay away from our business!!!
Ni hayo tu!
Inabidi nianze kutulia kama wewe nitoe mawazo yakujenga kama hiviKalenda inasema idd ni siku mbili sio, kwa nini isiwe siku ya kwanza ni ya wanao tumia mwezi wa kimataifa na siku ya pili iwe ni kwa wengine ili wote wanufaike na siku hyo
Ulikua hujui !Aisee kwa makasiriko haya uislamu siyo dini Trump aendelee kuwapelekea moto
Uwelewa wako umeishia hapo sikulaumu ndio maana ukaja na conclusion kuwa nimemaanisha "waislam ni watu wa fujo" thanks and goodbyeDaaah Ile nyie watu aisee
Kwamba waislam ni watu wa fujo ila wanatulizwa na BAKWATA?
Hivi Kuna muislam anaitii BAKWATA au wanaipuuza tu
Hawa waislam sio watu wabaya ni watu jamii yetu, ni watu wema tu
Kasoro zipo ila sio za kuondosha amani wala kuleta vita
BAKWATA hata haiwatali waislam labda inatumika kama chombo cha kuwakandamiza
Waislam na Watanzania wa Sasa sio wa enzi za Nyerere watu wanapima
Binafsi mimi ni mkristo ila natamani mno hawa wenzetu wapate chombo kingine tofauti na BAKWATA
Wafanye ibada zao Kwa haki na masikilizano
BAKWATA hii haiheshimiki tena
Me niliichukia zaidi walivopewa ubwabwa na kuja kuropoka amani na kutukuza mauaji ya mo29
Wewe bakia kuandika nyuzi zako kuhusu wagalatia tu ndio zinakufaa,lakini usilete hoja zako zisizo na kichwa wala miguu,kifupi wewe umeshaingia kwenye mtego na mkumbo wa wagalatiaHamna kufuata miruzi BAKWATA wana dhihaki Dini yetu kwa kutanguliza siasa kuliko Imani, kwasbb waislam wengine kama kua bakwata ni ujira mko tayari kutetea upuuzi weni, aibu tunaiona sie tunao tanguliza Imani kuliko masirahi,.......muislamu mwenye uelewa mwenye akili timamu asio kua na upande huwezi kutetetea kitendo cha bakwata kugawa waislamu wa Tanzania kwa masirahi yao, nakujificha kwenye Hadith na Quran very foolish.