Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

Kalenda inasema idd ni siku mbili sio, kwa nini isiwe siku ya kwanza ni ya wanao tumia mwezi wa kimataifa na siku ya pili iwe ni kwa wengine ili wote wanufaike na siku hyo
Yani hii ingekuwa suluhu rahisi sana, sijui kwa nini hawafikirii hivi na wote ni dini moja!
 
Kwanza Asante kwa maoni yako,lakini pili una hoja ya msingi kuhusu kutengana kwa waislamu kwani tumeambiwa katika qur'an

“Na shikamaneni nyote kwa pamoja na kamba ya Mwenyezi Mungu, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu, mlipokuwa maadui akaziunganisha nyoyo zenu mkawa kwa neema yake ndugu…”
(Surah Aal-Imran 3:103)

Hiyo no aya ambayo inasisitiza sana mshikamano wa waislamu duniani kote,sasa hapa tujiulize je wasomi na wanazuoni wa kiislamu hawaijui aya hii au fundisho au Agizo hili.

Swala la kujiuliza hapa,Je ni uongozi upi unatambulika hapa Tanzania na serikali??

Jibu ni Bakwata,sasa kama Bakwata inatambulika je ungetarajia serikali itambue taasisi nyingine tofauti na Bakwata?

Kwanza ingetakiwa uongozi wa Bakwata utambuliwe na kuheshimiwa na waislamu wote,kisha kama kuna hoja ,marekebisho au mabadiliko yafanyike miongoni mwa taasisi zote,ila huu ujinga wa kila taasisi kuwa na meno ndio unatugawa waislamu

Huko nyuma enzi za Afrika Mashariki, East Afrika ilikuwa na msemaji au chombo kimoja cha waislamu ambacho ndio msemaji wa mwandamo wa mwezi na hakukuwa na shida yoyote ile,swali la kujiuliza je,kimetupata nini sasa hivi.

Hao ambao hawafuati mamlaka ya Uislamu ambayo ndio inatambulika na Serikali wasilaumu kwa kushindwa kupata nafasi ya kula sikukuu kwasababu wameamua wenyewe kufuata mlengo mwingine ambao hautambuliki na serikali
 
You are an establishment shill
 
Dini ya, kishetani,
Ukihama dini, unauliwa, wa Islam wana mahaba makubwa na mtume mudy kuliko Allah wao,
Hawataji jina LA mtume wao bila kusema Amani iwe juu yake, "PBUH) Ila, allah wao, wanamtaja tu, dini isiyo taka critical thinking, bure kabisa,
 
kuna tv moja ya kikobazi nayo inawalaumu bakwata kwa swala hili, kobazi kwa kobazi wanalaumiana
Yaani hawapendani wenyewe kwa wenyewe
Ndo utegemee wawapende wakristo
Wana roho ngumu sana hawa jamaa
Ndo maana magaidi wanatumia dini yao kuua watu wasio na hatia
 
Hapana unakosea ukisema hivyo,tunatambua mawazo na maoni ya kila watu,lakini kuna masuala hayana maoni wala mawazo binafsi,huwezi ukaleta maoni yako kwenye ibada

Mfano sijui kama ni sahihi kuwaambia au kutoa maoni yako kwa wakatoliki kwa kuwaambia kwanini wasiache tu kuweka alama ya msalaba kama wanavyofanya,hapo maoni yako na mawazo yako hayahitajiki,hivyo hivyo swala muandamo wa mwezi hatuhitaji mawazo yenu wala maoni yenu,period
 
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu,kitendo cha wewe kuaminishwa watu walitengeza Uislamu inatosha kujua kwamba ur not thinking by yourself,unalishwa tu mawazo na wengine bila hata kutafakari
 
migogoro ya mwezi ni ya kila mwaka, sasa mkuu labda ungesaidia kuja na makala ya kufafanua
Hakuna migogoro yoyote ile kwa waislamu ambao wanajua mafundisho ya dini,migogoro ipo kwa wale ambao hawajitambui na ambao hawana elimu ya dini ya kiislamu
 
Hakuna kitu kibaya kama kutoa tuhuma bila uhakika na kile unachokisema,umezungumzia kwamba Bakwata imeacha kuwatoa masheikh 20 huko kwenye kesi,je ulijua hiyo kesi ina uzito kiasi gani? Je ulitaka Bakwata iitishe maandamano ya waislamu wote kuandamana kudai masheikh watolewe,na lau ingefanya hivyo hapa mgekuja na nyuzi hapa kusema waislamu hawafuati sheria za nchi

Naweza sema mmefanikiwa pakubwa sana kuipa Bakwata jina baya hivyo kila jambo ambalo halipo sawa ni lawama kwa BAKWATA


Ndio natambua Bakwata kama taasisi nyingine ina mapungufu na makosa yake lkn si hekima wala busara kuitupia kila jambo baya
 
Tatizo ni pale mtu anapoamini imani yake ni sahihi na waale wanaofata imani nyingine wamepotoka.
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu,imani yoyote ambayo haimtambui MUNGU MMOJA NI BATILI,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…