Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

we ndiyo mpuuzi unayeaminishwa uislam ni dini wakati ni mila na desturi za waarabu wa mashariki ya kati
Wewe hauna tofauti na kionngozi wa MALAWI kila unavyozidi kupanua mdomo wako unazidi kuharibu zaidi

Ngoja nikupuuze tu

Asante
 
Yaani BAKWATA hawawezi kutoa tamko juu ya mamia ya mashehe waliosingiziwa kesi kuachiwa?
Kuwapa mawakili?
Tuhuma Zina uzito kiasi gani, si wapekekwe mahakamani haki ijulikane huko, mashehe wamekaa mahabusu miaka 20 ila BAKWATA wapo wanakula tende na kugombea mazulia

Me sio muislam ila napenda haki,
Waislam wapate haki zao,
Wapate chombo kingine tofauti na BAKWATA kitakachowaongelea

BAKWATA nawachukia mno Toka watumike kubariki mauaji ya Watanganyika oktoba 29,
 
Huenda una la kuzungumza lakini umeshindwa kuunganisha mawazo yako na uhalisia,au umeongea tu kwa mapenzi yako.

Nitagusia machache,hizo dini za sijui Japan buddha,kwamba kuna meditation na discipline, huo ni utamaduni au dini?

Watu wanafuta kumuabudu Mungu mmoja wa kweli,ambaye anataka kuabudiwa na kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake,na sio meditation

Unazungumzia sijui kuacha sex,wakati biblia inasema nendeni duniani mmkaijaze dunia,je tutaijaza bila sex? Panapo kuwepo ndoa je sex haipo?

BRO UNAONGEA VITU GANI?

Je,uislamu unazungumziaje kuhusu familia,UISLAMU umeweka mkazo mkubwa sana katika kulinda familia,huko kuachana sio kwamba ni sehemu ya dini,wala hakuna mafundisho yakuoa nna kuacha hovyo hovyo,tofautisha mafunzo ya dini na vitendo vya watu binafsi

BRO UNAZUNGUMZA NINI?
 
Got you ,mistari yako ya mwisho kwenye comment yako yanaonyesha kwamba una chuki tu na Bakwata,kwahiyo hakuna ambalo litaeleweka kwako kwakuwa ni chuki tu binafsi

Hatuna la kujadili tena

Asante
 
Kama ambavyo tunaswali na kuskia ibada yote ingali haiwahusu waache wajadili Alimradi itikadi zao haziamui ibada zetu.

Usiwe kama babu kwenye picha hapo juu
 
Got you ,mistari yako ya mwisho kwenye comment yako yanaonyesha kwamba una chuki tu na Bakwata,kwahiyo hakuna ambalo litaeleweka kwako kwakuwa ni chuki tu binafsi

Hatuna la kujadili tena

Asante
Sawa Shehe wa BAKWATA
 
Hakuna migogoro yoyote ile kwa waislamu ambao wanajua mafundisho ya dini,migogoro ipo kwa wale ambao hawajitambui na ambao hawana elimu ya dini ya kiislamu
kwahiyo wasiojua huna habari nao mkuu?
 

somalia na wasomali have the lowest iq in the world, i.e wasomali wana intelligence ndogo kuliko wote duniani, ni ~ 60, binadamu wa kawaida anayeweza kufanya simple task kwa mfano ukarani ana angalau iq ya kuanzia 80 ...
 
We try to stay away from your business, but unfortunately you bring your business to us here.

I frankly give zero fvcks about your business, until you make your business my business by bringing it here.
 
We try to stay away from your business, but unfortunately you bring your business to us here.

I frankly give zero fvcks about your business, until you make your business my business by bringing it here.
What matters most is that you’ve heard my message
 
Mara nyingi nawapuuza, sababu kuu ya kupuuza ni mihemko ya dini.
Mtu ana shupaza shingo kuongelea kitu hajui..
Basi tujadiliane, anatoa maneno ya hovyo chuki na matusi, huwa nawaacha..

Katika harakat zangu za maisha nishakuwa na mchizi, best kabisa mkristu geto 1 tupo A level hapo, siku tukianza kuiongelea physics ama namba tutaichambua wee, tutasolve wee.
Tukizungumzia dini, tunachangia vifungu tunavyojua, tunaelekezana wee, vifungu asivyovielewa namuelewesha.. hatujawahi pigizana kelele hata siku 1.

Sehemu pekee tulikuwa tunapiga stori za ushabiki ni boli, yeye barca mie mpenzi mkubwa wa falsafa za diego simeone
 
Ujinga wa watu wengi humu ni kushindana au kuoneshana ujuaji,yani mtu anasoma post tayar ego yake inamuelekeza kureact in a negative way,huu ni utamaduni wa hovyo sana

Lau tungekuwa tunajadiliana na kuelimishana au kukosoana kwa hekima na busara,tungekuwa na mijadala yenye tija na faida kubwa sana

Kama ulivyo wewe nami huwa napuuzia sana mambo ya hovyo,nikiona kuna haja ya kusema kitu na kuweka walau mambo sawa ndio nafungua uzi kama hivi.
 
Wengi wetu hatuna busara unakuta mkristu katukana, muislam nae anakuja anatukana, yani vurugu tupu.. ilibidi tujue pembeni ya hizi dini sisi ni watu wamoja ukitoa hapa jf tunapoleta ujuaji, kashfa na mengine, kwenye maisha kila siku tuna ndugu, jamaa, marafiki ambao sio dini zetu na tunaishi nao bila kutukanana, sasa iweje umtukane mtu kwenye keyboard?
 
Tatizo mnalazimisha kwenye hizo pumba za muarabu, mngeendelea wenyewe huko na mikanzu yenu usingeskia mtu akiwasema, Sasa ila unakuta ramadhani mnalazimisha watu wasile chakula huko Zanzibar, watu wasiotaka kujihusisha na chochote kwenye hiyo dini ya muarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…