Nebart Chalaji
Senior Member
- Feb 15, 2013
- 143
- 192
Huku dunia nzima ikiungana na jamii ya kiislamu katika kusherehekea siku kuu ya Eid ul Adha, kundi moja la wasioamini kuwepo kwa Mungu nchini Kenya limetaka kutengewa siku maalum ili kusherehekea siku kuu yao.
Kundi hilo limemtaka Waziri wa mambo ya Ndani nchini Kenya Fred Matiangi, kuwatengea tarehe 17 mwezi Februari kama siku kuu yao ya kitaifa ili kusherehekea kutokuwepo kwa Mungu.
Source BBC Swahili.
Kundi hilo limemtaka Waziri wa mambo ya Ndani nchini Kenya Fred Matiangi, kuwatengea tarehe 17 mwezi Februari kama siku kuu yao ya kitaifa ili kusherehekea kutokuwepo kwa Mungu.
Source BBC Swahili.