Wasioamini kuwepo Mungu wataka kupewa siku yao ya kitaifa Kenya

Nebart Chalaji

Senior Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
143
Reaction score
192
Huku dunia nzima ikiungana na jamii ya kiislamu katika kusherehekea siku kuu ya Eid ul Adha, kundi moja la wasioamini kuwepo kwa Mungu nchini Kenya limetaka kutengewa siku maalum ili kusherehekea siku kuu yao.
Kundi hilo limemtaka Waziri wa mambo ya Ndani nchini Kenya Fred Matiangi, kuwatengea tarehe 17 mwezi Februari kama siku kuu yao ya kitaifa ili kusherehekea kutokuwepo kwa Mungu.

Source BBC Swahili.
 
Hawaamini katika Mungu ila wanataka siku yao....

Jr[emoji769]
 
Maajabu hayaishi watu wanasherehekea uwepo wa Mungu
Wao wanataka kusherehekea kutokuwepo kwa Mungu duu

Sent from my SM using Tapatalk
 
i don't believe there is God either but that doesn't mean satan exists.
just live your life, do good, stay out of trouble.
 
H
Huku dunia nzima ikiungana na jamii ya kiislamu katika kusherehekea siku kuu ya Eid ul Adha, kundi moja la wasioamini kuwepo kwa Mungu nchini Kenya limetaka kutengewa siku maalum ili kusherehekea siku kuu yao.
Kundi hilo limemtaka Waziri wa mambo ya Ndani nchini Kenya Fred Matiangi, kuwatengea tarehe 17 mwezi Februari kama siku kuu yao ya kitaifa ili kusherehekea kutokuwepo kwa Mungu.

Source BBC Swahili.
Hata Kama ni mambo na haki za kibinadamu. Hapa Itabidi tumdhulumu, tumdhihaki, tumshutumu na mwishowe tumnyime kabisa haki Kama hii. Isitoshe na tuzibe mianya yote ambayo inaweza mwezesha kutimiza hili la kusherehekea siku ya kutokuwa kwa mungu.
 
Back
Top Bottom