Nebart Chalaji
Senior Member
- Feb 15, 2013
- 143
- 192
Hali ni ya hatari sana kwa nyakati zetu hizi maana machukizo kwa Mungu yanazidi mno.Wanao liwa kuku (mashoga) na mabasha, wachawi, waganga nk [emoji16][emoji16] sodoma na gomola zinarudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawaamini katika Mungu ila wanataka siku yao....Huku dunia nzima ikiungana na jamii ya kiislamu katika kusherehekea siku kuu ya Eid ul Adha, kundi moja la wasioamini kuwepo kwa Mungu nchini Kenya limetaka kutengewa siku maalum ili kusherehekea siku kuu yao.
Kundi hilo limemtaka Waziri wa mambo ya Ndani nchini Kenya Fred Matiangi, kuwatengea tarehe 17 mwezi Februari kama siku kuu yao ya kitaifa ili kusherehekea kutokuwepo kwa Mungu.
Source BBC Swahili.
Ahahhjahhahahaahhahahahaha mtapata tu
[emoji3][emoji3][emoji38][emoji38]utasikia nithibitishie kama Mungu yupo jmn
Wakisherekea tu basi watakuwa na jambo wanalo aminiSasa wanataka kusherekea nini!,?
Dah! Hata na wewe pia ndugu yangu? Yaani utakula pilau na urarue minofu ukisherehekea kutokuwepo kwa Mungu?i don't believe there is God either but that doesn't mean satan exists.
just live your life, do good, stay out of trouble.
Hata Kama ni mambo na haki za kibinadamu. Hapa Itabidi tumdhulumu, tumdhihaki, tumshutumu na mwishowe tumnyime kabisa haki Kama hii. Isitoshe na tuzibe mianya yote ambayo inaweza mwezesha kutimiza hili la kusherehekea siku ya kutokuwa kwa mungu.Huku dunia nzima ikiungana na jamii ya kiislamu katika kusherehekea siku kuu ya Eid ul Adha, kundi moja la wasioamini kuwepo kwa Mungu nchini Kenya limetaka kutengewa siku maalum ili kusherehekea siku kuu yao.
Kundi hilo limemtaka Waziri wa mambo ya Ndani nchini Kenya Fred Matiangi, kuwatengea tarehe 17 mwezi Februari kama siku kuu yao ya kitaifa ili kusherehekea kutokuwepo kwa Mungu.
Source BBC Swahili.