Wasioamini uwepo wa Mungu walivyobanwa katika mjadala

Wasioamini uwepo wa Mungu walivyobanwa katika mjadala

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kuna wasiaminini , walisema Mungu haonekani, hasikilikani, hupati hisia ya harufu yake, wala hisia ya aina yoyote ya uwepo waje . Kwa hivyo hakuna Mungu.

Jibu alilojibiwa
Jee hayupo au humjui kutokana na upeo wenu mdogo?

Wakaulizwa twambieni, ndani ya chumba kinachofuata mnajua mnanini?

Jawabu wakasema hawajui.
Jee kuna vitu au havipo. Jawabu vipo lkn hatujui kuna nini.

Sasa kama hujui lakini vipo sasa na Mungu hayupo au humjui? Kutomjua kwenu kwamba ndio hayupo?

Soma Pia: Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu


Jawabu kimya.
Nimejifunza
Jawabu ya wapumbavu uwajibu kipumbavu
 
Back
Top Bottom