Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 738
- 1,230
Nijibu kama unaamini Mungu yupo au hayupo.Huu ujinga nilishavuka huko zamani sana🚮
Hofu +ahadi hizi ndio nguzo kuu za imani , watishe halafu wape ahadi ya jambo fulaniKuamini hakufanyi kitu kuwa halisi, hata zamani waliamini dunia ipo katikati na vyote vinaizunguka, galileo akaja kusema hivyo vyote ndio vinazungukia jua viongozi wa dini kwa ushirikiano na utawala wakannyongelea mbali
Sijui aliyeleta imani ni nani, mtu anatilewa hospitali anapelekwa kwenye maombi apone, anakufa bado watanzania wanaendelea na imani inaponya na huku wamethibitisha mtu amekufa kwa imani hyo hyo.
Mungu ni dhana za kufikirika sawa na shetani mbingu na kuzimu. Hizi ni plan za wajanja wajanja fulani kikundi fulani kutafuta ugali. Hawana tofauti na kikundi cha ccm kuaminisha watu wao ndio watawala wakitoka wao ni hakuna amani wala maisha
Hata wewe hujaelewa nilichojibu.Hata hujaelewa nnachomaanisha
Acha basi....😂Kwani kazi yake Mola si haina makosa
Utashangaa unaambiwa mungu ni wa upendo ila ukisoma mambo ya hyo mungu ni mauaji na visasi, maagano na viapo, mateso.Hofu +ahadi hizi ndio nguzo kuu za imani , watishe halafu wape ahadi ya jambo fulani
Mkuu ningeshangaa sana kama nisingekuta umeweka kambi kwa huu Uzi, mana ndo nyuzi zako izi MkuuPolepole alisema yeye haogopi kudakwa analindwa na Mungu wa mbinguni.
Halafu kadakwa.
Bado mnaamini Mungu yupo?
Za kuambiwa changanya na zako.
Mkuu Mimi naamini Mungu yupo Kuna kipindi hao mafala watekaji walinikosakosa kidogo sana
Hivi jaman kina Rostam,Jakaya na Samia si ni Waislamu safi kabisa au?
Kweli kabisaHao ulio wataja kwanza kabisa hawaamini uwepo wa Mungu, kama kweli wana amini uwepo wa Mungu hawawezi kufanya ukatiri kiasi hicho.
Huyo wa kwenye pozi la hiyo meme 😂 😂Yupi sasa
Hii pointMimi nafikiri hatuhitaji kuishi kwa kmani, tunahitaji kuthibitisha kweli hiko tunachokiamini kipooo.
Bora kujua mungu yupo anajidhihirisha kupita mambo ya kiasili, yaani yeye ni mazingira na vyote vilivyopo, na anajidhihirisha kupita nguvu za sumaku, gravity, wind, thermal etc
Mimi nakubaliana kabisa na spinoza aliposema mungu sio mfu ni active power that exist and manifest through natural powers of gravity, magnet etc
The god of spinoza
Naamini dini ikiondoka kwenye jamii, watu warafunguka akili wataenda mbali na shida zitaisha kwenye hii dunia. Mtu anaacha kuuza pombe apate hela eti mungu amekataza, amekukataza lini eti baba paroko ndio amesema.
Hyo mungu kwanini haongei na wote anaongea na baba paroko tu. Kwani baba paroko ana antena kichwani we huna. Think of this
Maisha ni uhalisia zaidi sio theoretical, kisichoweza kuthibitika hakipo.
Kulia na kelele hakujawahi kuwa jibu la njaa, ni jitihada ya kulima kwa akili, kupika na kula
Hivi duniani kuna mtu katili kuliko mimi na mwema kuliko mimi ...Polepole yupo salama tu zaidi ya purukushani za kumkamata hakuna anacho teswa.....leta mil200 niwaondoleeni samiaWewe mlokole gani muoga hivi?
Ingia rodini na panga kamtafute Rostam ya kukute, sio unabwabwaja humu kila siku....
Hapo ndio utajua kuwa huyo mungu wako yupo au hayupo....
Umefika hapo kwa kuwa ulikuwa na matarajio mengine na kilichotokea ni tofauti “Expectation is the root of heartache.”Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
View attachment 3485166
Kwa maelezo yako ulivyoandika na kama kweli una Mungu wako unamuamin basi huyo Mungu wako ni M'babe sanaUmefika hapo kwa kuwa ulikuwa na matarajio mengine na kilichotokea ni tofauti “Expectation is the root of heartache.”
Suala la imani ni suala la mtu binafsi. Upo huru kuamua katika unachokiamini au kutoamini.
Tatizo kubwa kuwa tusijiingize kwenye matatizo halafu tukamsingizia Mungu aje kutuokoa.
Kila mtu atavuna alichokipanda.
Ukiwa mwema Mungu ni mwema kuliko unavyofikiria na ukijifanya mbabe basi Mungu ni Mbabe kuliko unavyofikiria.Kwa maelezo yako ulivyoandika na kama kweli una Mungu wako unamuamin basi huyo Mungu wako ni M'babe sana
Namimi niko mbioniNa Tanzania mda sio mrefu watu wengi wataelekea huko