Wasiojua Cheo cha Urais ulimwenguni someni hapa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe).

2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.

3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi)

4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi.

5. Anamzidi raia yoyote kwa viwango vyote kwa 100%, hutafanana na Rais awe mstahafu au incumbent.

6. Rais ni alama ya nchi hivyo huwezi kupambana wala kushindana na nchi.
 
1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe)

5. Anamzidi raia yoyote kwà viwango vyote kwà 100% hutafanana na rais awe mstahafu au incumbent.

Amejiweka na u Mungu. Innallillahwainnairah rajiun. Yaani Mungu aumbe yeye aue.
 
1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe)
2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.

3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi)

4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi.

5. Anamzidi raia yoyote kwà viwango vyote kwà 100% hutafanana na rais awe mstahafu au incumbent.

6. Rais ni alama ya nchi hivyo huwezi kupambana wala kushindana na nchi.
Kwa hiyo hata Karia ana hizo haki?
 
AKILI ZA KIAFRIKA NI KINYESI KITUPU!

RAIS WA NETHERLAND ANAENDA KAZINI NA BAISKELI....

TONY BLAIR HUWA ANASAFIRI BILA ULINZI WOWOTE BAADA YA KUSTAAFU..SASA WEWE HUU UPUMBAVU UMEUTOA WAPI?
Sisi tuna shida sana waafrica,
Sio kwa nchi za africa watembee bila ulinzi, humu watu wameyakosea maisha wenyewe lkn lawama zote wanapeleka kwa viongozi
 
1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe).

2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.

3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi)

4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi.

5. Anamzidi raia yoyote kwa viwango vyote kwa 100%, hutafanana na Rais awe mstahafu au incumbent.

6. Rais ni alama ya nchi hivyo huwezi kupambana wala kushindana na nchi.
Ni Kweli Ni NEMBO ya Taifa. Bt usisahau haya.

1. Rais ni MWANADAMU, ingawa Si wote, wengine wamechanganya uzao.

2. Ni mwananchi, ametokana na wananchi.

3. Ni Mwajiriwa wa Mwananchi. Yaani Mwananchi analipa mshahara Rais.

4. Ana mapungufu ya kibinadamu. Hivyo lazima asaidiwe. Pia anatakiwa awe humble, mnyenyekevu, BUSARA n.k

5. Huchoka kama watu wengine hivyo lazima apate muda wa KUPUMZIKA. Alale USINGIZI.

Mungu ibariki TANZANIA, bariki tawala za WANADAMU Duniani kote.

Ameeen.
 
Anaweza kuwa amechanganya uzao.. ufafanuzi mkuu
 
Back
Top Bottom