Hapo namba mbili Jiwe aliitumia vizuri hiyo ruhusa.1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe)
2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.
Kwa nchi zile alizotaja Rais Trump inakuwaje?AKILI ZA KIAFRIKA NI KINYESI KITUPU!
RAIS WA NETHERLAND ANAENDA KAZINI NA BAISKELI....
TONY BLAIR HUWA ANASAFIRI BILA ULINZI WOWOTE BAADA YA KUSTAAFU..SASA WEWE HUU UPUMBAVU UMEUTOA WAPI?
Jiwe alikuwa ni shetani mkamilifuHapo namba mbili Jiwe aliitumia vizuri hiyo ruhusa.
Amejiweka na u Mungu. Innallillahwainnairah rajiun. Yaani Mungu aumbe yeye aue.1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe)
2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.
3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi)
4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi.
5. Anamzidi raia yoyote kwà viwango vyote kwà 100% hutafanana na rais awe mstahafu au incumbent.
6. Rais ni alama ya nchi hivyo huwezi kupambana wala kushindana na nchi.
Lazima awe na ulinzi ambao watu wa kawaida hawauoniAKILI ZA KIAFRIKA NI KINYESI KITUPU!
RAIS WA NETHERLAND ANAENDA KAZINI NA BAISKELI....
TONY BLAIR HUWA ANASAFIRI BILA ULINZI WOWOTE BAADA YA KUSTAAFU..SASA WEWE HUU UPUMBAVU UMEUTOA WAPI?
Kwa hiyo hata Karia ana hizo haki?1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe)
2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.
3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi)
4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi.
5. Anamzidi raia yoyote kwà viwango vyote kwà 100% hutafanana na rais awe mstahafu au incumbent.
6. Rais ni alama ya nchi hivyo huwezi kupambana wala kushindana na nchi.
AMEUTOA KWENYE NCHI YENUAKILI ZA KIAFRIKA NI KINYESI KITUPU!
RAIS WA NETHERLAND ANAENDA KAZINI NA BAISKELI....
TONY BLAIR HUWA ANASAFIRI BILA ULINZI WOWOTE BAADA YA KUSTAAFU..SASA WEWE HUU UPUMBAVU UMEUTOA WAPI?
Sisi tuna shida sana waafrica,AKILI ZA KIAFRIKA NI KINYESI KITUPU!
RAIS WA NETHERLAND ANAENDA KAZINI NA BAISKELI....
TONY BLAIR HUWA ANASAFIRI BILA ULINZI WOWOTE BAADA YA KUSTAAFU..SASA WEWE HUU UPUMBAVU UMEUTOA WAPI?
Anazo kwenye tasnia ya kabumbu.Kwa hiyo hata Karia ana hizo haki?
Kama ule aliowekewa msoga na shehe Yahya, enzi zileeee?Lazima awe na ulinzi ambao watu wa kawaida hawauoni
Ni Kweli Ni NEMBO ya Taifa. Bt usisahau haya.1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe).
2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.
3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi)
4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi.
5. Anamzidi raia yoyote kwa viwango vyote kwa 100%, hutafanana na Rais awe mstahafu au incumbent.
6. Rais ni alama ya nchi hivyo huwezi kupambana wala kushindana na nchi.
Ndio, sasa raia jichanganye uoneKama ule aliowekewa msoga na shehe Yahya, enzi zileeee?
Ndiyo maana hata hizi bongolala nazo zinajiona zina akili?5. Anamzidi raia yoyote kwa viwango vyote kwa 100%, hutafanana na Rais awe mstahafu au incumbent.
Anaweza kuwa amechanganya uzao.. ufafanuzi mkuuNi Kweli Ni NEMBO ya Taifa. Bt usisahau haya.
1. Rais ni MWANADAMU, ingawa Si wote, wengine wamechanganya uzao.
2. Ni mwananchi, ametokana na wananchi.
3. Ni Mwajiriwa wa Mwananchi. Yaani Mwananchi analipa mshahara Rais.
4. Ana mapungufu ya kibinadamu. Hivyo lazima asaidiwe. Pia anatakiwa awe humble, mnyenyekevu, BUSARA n.k
5. Huchoka kama watu wengine hivyo lazima apate muda wa KUPUMZIKA. Alale USINGIZI.
Mungu ibariki TANZANIA, bariki tawala za WANADAMU Duniani kote.
Ameeen.