Wasiojua Kiswahili watashindwa

Wasiojua Kiswahili watashindwa

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
WATU WENGI WATAKOSA SWALI HILI!!

Kuna tofauti gani kati ya NJE YA NCHI na NCHI ZA NJE??, kama wewe unajua kiswahili utapata tu maana kuna tofauti kubwa sana!.
 
Nje Ya Nchi,kuwa Nchi Ambayo Wewe Siyo Raia Wake Na Labda Umeenda Kwa Majukumu Ya Kikazi Ama Makusudi Maalum(out Of Your Country) Nchi Za Nje Ni Mataifa Mbalimbali Zaidi Ya Moja,nje Ya Nchi Yako Mahalia yaweza Kuwa "Foreign States"(marekebisho Kwenye Maneno Ya Kiingereza).
 
nje ya nci inaweza ikawa kenya, burundi as long as umevuka mipaka ya tanzania..nchi za nje napata wazo kuwa zinaexclude africa nzima..sijui!
 
Back
Top Bottom