Elections 2010 Wasiojua kusoma na kuandika wanapigaje kura?

Elections 2010 Wasiojua kusoma na kuandika wanapigaje kura?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Hivi watu wazima Tanzania wasiojua kusoma na kuandika wanapiga vipi kura? Maanake ni asilimia 69 tu ya watu wazima Tanzania wanajua kusoma na kuandika (World Resources Institute, 2007). Je, wale wasio ona?
 
Niliwahi kusikia kua wanaweka sahihi ya kidole gumba!
Sina uhakika kama ni kweli!
 
hapo ndipo utakapo jua kwa nini CCm hawataki hawa watu wajue kusoma
 
Back
Top Bottom