Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu ya tano chini ya mfalme Nebuchadnezzar wacha weeh!! Ukimbuka na tuvibaraka twake,mmh!! Kweli wakati ukuta.Sasa umekuja kujitetea na kuweka promo mpuuzi wewe
USSR
Ha ha Central kugumu bro sijui kwanini mwenzake hakukoma..uKwahiyo shindo kilawa alinyooshaje mikono alirudi ccm au bado Yuko na misimamo yake?
Utakuwa una hang over wewe au umri wako Ni ule wa KKBNikiwajua inanisaidia nini mi nmezaliwa Kariakoo,primary Mnazi Mmoja sekondary Forodhani chuo IFM ila siwajui hao shitholes
Nimezaliwa mjini mzani ukiwa ubungo,nimekula hadi burugaHa ha Central kugumu bro sijui kwanini mwenzake hakukoma..uUtakuwa una hang over wewe au umri wako Ni ule wa KKB
Walevi mbona wengi na awapati majangaHuyo cyrilo ni nani? Yaani mtu akilewa pombe na kupotea kwake, kesi inaenda kwa wasiojulikana?
Na wewe kila uzi wa wasiojulikaba umo. Unajifanya na wewe ni wale wasiojulikana. Wewe ni kingai?Sasa umekuja kujitetea na kuweka promo mpuuzi wewe
USSR
Umelewa pombe za kununuliwa msibaniHuyo cyrilo ni nani? Yaani mtu akilewa pombe na kupotea kwake, kesi inaenda kwa wasiojulikana?
Ha ha noma Sana aisee halafu mnadunda miondoko ya kitown..Tangu mungu wao afe tupo salama
Mkuu @Bujibuji huyo Ni katika vile vipenyo vya jf kwhy anasifa zote za Hayati katili..Umelewa pombe za kununuliwa msibani
Hayati aliacha sumu ya roho mbaya sana kwa waliokuwa wanampendaMkuu @Bujibuji huyo Ni katika vile vipenyo vya jf kwhy anasifa zote za Hayati katili..
Halafu wenyewe hawakujuwa kuwa ile roho mbaya Ni wrong approach kwa maisha ya Sasa ...wengine wanajaribu kuungama lkn dhamira zinawasuta.Hayati aliacha sumu ya roho mbaya sana kwa waliokuwa wanampenda