nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Tuko huru kutembea muda wowote uleSaa tisa usiku alikua anatokea wapi? Asijekua alikwapua mke wa mtu, ccm akili zao zinajulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko huru kutembea muda wowote uleSaa tisa usiku alikua anatokea wapi? Asijekua alikwapua mke wa mtu, ccm akili zao zinajulikana
Hata huko Lindi zipo namba D na E ???!Namba B iyo ni screpa sio gari.
Mzee Kibao aliwakosea nini nyie CCM na serikali? Au mkuki kwa nguruwe tu kwa binadamu mchungu? Na bado mtauana sana Karma ipo.We ni binadamu? Amekukosea nini?
Anunue E Sasa, lilikuwa la urithi hilo 🤣Namba B iyo ni screpa sio gari.
Ila CCM wakiwaua Chadema sawa? Hizi damu za watu wasiokuwa na hatia zinazomwagwa na CCM na dola kwa wapinzani ndiyo zinazaa chuki hizi. Kwangu mimi CCM yoyote yule ni adui kama nyoka na binadamu. Na bado watauna sana wenyewe kwa wenyewe.Tofauti za itikadi za vyama zisitufikishe huku
Kwa namba hii ni gari iliyochoka sana. Hitlafi kama hii iko wazi kabisa.Toyota Cresta GX 100 lenye namba za usajili T 402 BCH
Mambo ya Insurance coverCorolla ya '98 iyo atakua kacheza deal kachoma mwenyewe apewe LC.
Hii nyumbu ya kunyonga hii.Wangelichoma akiwemo ndani ingependeza sana.
Saa 9 usiku , wanaotembea kwa sababu za kawaida ni vibakaTuko huru kutembea muda wowote ule
Kama ni kweli hawezi kuyasema haya , atabaki kutafuta kiki ati wasiojulikana ,Hilo jamaa lilitoka kulewa sasa likawa linavuta fegi lilipota kuingia ndani likatupa kichungi uelekeo wa gari kumbe hakijazima gari ikawaka.
Saa tisa usiku alikua anatokea wapi? Asijekua alikwapua mke wa mtu, ccm akili zao zinajulikana
Hiyo gari au kibatatli?Watu wasiofahamika wamechoma moto gari la Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Lindi bwana Frenk Mzani Menuka na kusababisha uharibifu mkubwa kwa gari hilo aina ya Toyota Cresta GX 100 lenye namba za usajili T 402 BCH ambalo lilikuwa limeegeshwa kwenye nyumba anayoishi Mwenyekiti huyo wa vijana.
Tukio hilo limetokea usiku wa Februari 06, 2025 baada ya Mwenyekiti huyo kurudi katika mizunguko yake majira ya saa tisa na nusu usiku na ndipo alibaini kutokea kwa tukio hilo baada ya muda mchache tu kurudi nyumbani kwake hapo na baada ya kuegesha gari hilo aliingia ndani haikuchukuwa muda ndipo akabaini kutokea kwa tukio hilo ambalo limegharimu hasara uharibifu mkubwa eneo la injini sehemu ambayo walilenga wahalifu hao.
Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi limeanza upelelezi wa kubaini watuhumiwa waliohusika kutenda kosa hilo.