Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Bila shaka kanisa kupitia viongoz wake wanapaswa kuyaish yale wanayotuhubiria.Paroko wa Parokia ya Narumu, kata ya Machame Mashariki mkoani Kilimanjaro, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita baada ya mtu/watu wasiojulikana kuiba kapu la sadaka Kanisani na kuwataka Waamuni kusali sala maalum kwa siku 3.
Bhalaa Kubwa Hili Sijuui Ni Vita Vua Russia vs UkraineSiku hizi wahuni wanahudhuria misa.
Hatutakiwi kuwaombea laana bali kuwaombea msamaha ili hasira ya Mungu isitupige. Vipi km Mungu atadhihirisha hasira yake kwa kushusha njaa,tetemeko,au ukame si wengi tutaathirika hata km hatuhusiki? Mtoto mtundu akipiga mzinga wa nyuki sio kwamba nyuki watamuuma huyo mtoto pekee bali wengi wasiohusika wanaweza kuathirika ndivyo ikivyo hatari ya binadamu mmoja akipotoka.Muhimu ni kuomba Mungu awasamehe km Biblia inavyosema tuwe watu wa kuombeana siku zote.Kilichoibwa ni sadaka zenye kila aina ya maombi.. Hao wezi wataila pesa ila laana italala nao mbele
Kituo gani?Nimeiona hii kwenye habari.
Maisha yanawavuruga watu popote kambi siku hizi linapigwa tukio.
Ilikua Azam newsKituo gani?