Wasiojulikana walivyopora kiwanda cha Mzee wa miaka 67 kibabe. Aomba Rais Samia amsaidie kupata Mali yake

watu wana kwenda na Polisi wenye silaha nzito, wanafanya mikutano kwenye Ofisi za BOT na bado wanaita wasio julikana!

kwa lugha rahisi:

Wasiojulikana = watumishi wa Rais
 
Inasikitisha.
Wawekezaji wengi waliporwa mali na fedha kipindi cha Awamu ya 5.
 
Nahisi tatizo kubwa lilianzia hapa:

"tukaingia ubia na kampuni ya Kenya ya Brookside ambao walikuwa wanapeleka maziwa Kenya ila siasa iliingia ikawa inasemwa vibaya"
 
Wale mashabiki wa yule jamaa aliyekuwa na komwe wanaupita uzi kama hawauoni!
 
Unazalisha litres 60 tu halafu unaajiri wafanyakazi 100! Kwa muda gani?
Mbona imeandikwa alikuwa anazalisha lita 70000 kwa siku au una makengeza au mleta mada mwanzo alikosea akaedit
 
Du noma sana,awamu ya tano
Ila wadau kwa huyu mzee mm namfahamu, kinachomkuta ni anachowafanyia watu hivo, anadhulumu sana wafanyakazi ko muda mwngne hata manung'uniko ya watu wa hali ya chini yanachangia, imagine watu wameng'oa visiki ekari 200, hajawapa Hela zao, na wengineo wengi sana wamelizwa naye huko madaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…