NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
ni wanafiki na wala rushwa wa wazi wazi...Sijui ni kwanini sipendi kuona Askari mwenye mashavu manene na matumbo makubwa wakiongelea juu ya uaminifu, huwa napata walakini bila sababu.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wanafiki na wala rushwa wa wazi wazi...Sijui ni kwanini sipendi kuona Askari mwenye mashavu manene na matumbo makubwa wakiongelea juu ya uaminifu, huwa napata walakini bila sababu.!
alikuwa CCM nini?,,manake jana hiyohiyo kaka wa bosi mkubwa wa CCM mkoa wa kilimanjaro nae limemkuta jambo!!!!!{matokeo uchaguzi serikali za mtaa} hisia zangu lkiniHakuwa na ugomvi wa Mali na vijana wake?
Na hiyo ndambi unadhani anaweza kujilinda huyo, acha alindwe.Polisi tuondoleeni hao walinzi nyuma ya muongeaji, pole Kwa wafiwa na wahusika wapatikane ili Sheria ichukue mkondo wake.
Pengine vijana wanaharaka na urithi kabla mzee hajaufujaDhambi za kujitaftia tu hizo, sasa mzee wa 72 yrs unamuua ili iweje. Kibongobongo miaka hiyo wazee wengi wanakua hawana nguvu, zaidi ya maneno maneno na karaha za uzee tu.