Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
msusaPitiku
afu ikiungwa na tui la karanga, aisee nyama ikasome !!Hii ni mboga flani tamu sana hasa ikikutana na mpishi anaejua kuipika kwa kuchanganya viungo flan..
JE KWA KABILA Lenu MNAIITAJE HII MBOGA?
naanza: lisebho (wangoreme na wakurya)
View attachment 2028804
Kabila la Push hii no mboga yetu pendwa kabisa.Ambatanisha na kabila husika unapotaja jina lake
Mboga za majani ni muhimu kwa afya mkuuMimi nikajua umeweka kitimoto,
Kumbe majani, utafikiri sisi ni mbuzi.
Utakuwa wa kusini,Lindi,Mtwara .Pitiku
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mimi nikajua umeweka kitimoto,
Kumbe majani, utafikiri sisi ni mbuzi.
Inaitwaje kwa ki-pushKabila la Push hii no mboga yetu pendwa kabisa.