Wasiokujua kwa utamu wako ni wachache sana

Nmekuja mbio nkijua ni mdudu ila hii kitu ukiweka bamia (mlenda) aah askwambie mtu kilo ya ugali hutajua imepita wap
 
Mumeanza kuisifia mapema sana.

Vuteni subira mwezi huu upite.

January tarehe kama hii mtatunga hadi ngonjera. πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Lya nyungu, hii ikiwa chukuchuku na ugali original aisee we acha tu
 
Pitiku (wangoni).
Tamu sana hii hasa iungwe na karanga, [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…