Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Ndiyo! Nchi ishavurugwa sana hii. Narudia, wasiokuwa na connection wataendelea kusota sana!
Kuna kipindi hapo nyuma nilisoma post ya Mbasha akidai kuwa Waziri wa afya alimsaidia akapata matibabu ya uhakika!
Kama hiyo haitoshi kuna idadi kubwa ya vijana wanajitokeza hadharani kukiri kuwa bila kiongozi Fulani wasingefika walipo.
Yaani kifupi mafanikio yao yalipata favor fulani kutoka kwa kiongozi Fulani. Na ni Siri ya wazi kuwa vijana wengi wapo uvccm wakihangaikia favors.
Vijana mliolala amkeni! Nafasi zipo tatizo ni nani anakujuaaa!