Inawezekana kabisa Bashe alikuwa na majibu ya hoja zote za Mpina (he is a good debator after all.)
Kitendo cha speaker kuuzima mjadala bila ya serikali kujibu hoja. Huko ni kuuonyesha umma CCM na serikali inalea mafisadi. Hasa ukizingatia michango ya mapoyoyo waliomshambulia Mpina.
Mpina kaleta facts based on what transpired from original sources, angeachwa Bashe ajibu knowing him he is capable.
Kitendo cha kukingiwa kifua ndio kinamfanya speaker aonekane mtu wa hovyo na Bashe ni fisadi (kwa sababu ajatolea justification hoja za Mpina)
Mapoyoyo kama Kibajaji, Msukuma na wengine wa hovyo hawaku address hoja za Mpina zaidi ya kufanya personal attack na uchawa tu kwa speaker ambae kwa sasa hana credibility kwenye jamii.