Wasiomuelewa Hussein Bashe kwenye sukari waelewe swali la Dkt.Tulia

Umenena vyema ndugu,hata mm nilikuwa najiuliza kama Bashe aliweza kupeleka vielelezo na majibu kwa kamati ya maadili ni nini kilimfanya Spika asimuamuru Bashe alete majibu..Ama niseme ni kwann hakumuacha Mpina amalize hoja yake na ampe muda waziri alete majibu!?Why alizima mjadala...
 
Mjadala upi ulizimwa? Kwasababu wote wawili waliitwa kwenye kamati na hukumu imetolewa na Bunge. Vielelezo vyote vilipelekwa kwenye kamati na kamati ilisoma taarifa yake bungeni na ikithibitika Mpina alishindwa kuthibitisha uongo wa Bashe kwa baadhi ya tuhuma na akakutwa na kosa lingine la kukiuka taratibu za kibunge na kudharau mamlaka ya Spika

Ulitaka apewe jukwaa gani tena la kumjadili wakati hataki kufuata taratibu zilizopo?

Kwenye hili swala la sukari Mpina hayuko upande wetu walaji, yuko na wenye viwanda (Bourgiesie)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…